Hiyo ni kwasababu asilimia kubwa ya wanaoenda kupima huwa tayari imeonekana viashiria vya usaliti na mtoto kutokuwa wa baba kwa asilimia kubwa.
Ni sawa na wanaoshitakiwa kwa wizi unakuta 95% watakutwa na hatia ya kuiba, kwasababu hadi kufikia hatua hiyo huwa ni kwenda kuthibitidha tu kisheria ila ukweli huwa unajulikana.
Ingekuwa kila mtu au kila familia inapima basi asilimia zingepungua.