Kazi ya RA na mitambo yake ya New Habari Corporation Ltd. Ngoma ndo inaanza. Hadi kufikia kuapishwa kwa rais wa 5 wa Tz (Nov 2010) tutaona mengi sana!!
kaburi lipo marekani sema tu mwili wa marehemu Balali haukuagwa na watz ambao wako Amerika angalao wangewawkilisha wtz wengine. Hata balozi wetu Daraja aliogopa kivuli chake asije akahusushwa labda na ufisadi japo Richmond ilimtikisa kidogo
Mkewe alikuwa akiitwa ..?. Muganda (sijui naye yuko wapi?). ni ndugu wa Emmanuel Muganda mtangazaji wa VOA (ingawa siku hizi hasikiki). Muganda akiwa US naye kweli hakuweza kufika ktk mazishi ya huyu mtu? Nadhani kuna mengi yanafichwa fichwa.