Balance of power, CHADEMA wajifunze kutoka kwa chama kikubwa kama ANC la sivyo watapotea

Lasway.Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
233
Reaction score
413
Power Balance, kazi kubwa kwa CHADEMA ya sasa. Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama kikubwa cha pili kwa Tanzania ukiachana na CCM ambayo ni chama kikubwa na cha pili Afrika kwa utajiri wake ukiachana na ANC ya Afrika Kusini.​
1736144938498-png.3193923

Transformation iliyotokea kuanzia mwaka 2000 mpaka 2015 , yaani miaka 15 ya kufanya siasa , CHADEMA ilijizolea umaarufu mkubwa na kufanikiwa kushawishi vijana wengi na wasomi kuhusu sera zake , wanasiasa wengi vijana walipenda namna makamanda wa CHADEMA walivyokuwa na uwezo mkubwa wa kujenga hoja, kuzitetea na kuzisimamia kiasi cha kuwafanya watu kuona ni farahi kuwa wanachadema.

Ukiachana na mambo yaliyotokea mwaka 2015-2021. (Wakati wa Giza)

CHADEMA imekua na kuwa na watu wenye nguvu na ushawishi mkubwa ndani ya chama na nje ya chama , na kukua kwake kuna matokeo chanya na hasi endapo taasisi haitakuwa imara hasa kwenye katiba yake na utamaduni wake , mfano mzuri naweza kusema kuwa katiba ya CHADEMA ina mapungufu mengi na mojawapo ni kuto kuweka ukomo wa madaraka katika nafasi za uongozi , na walioweka hii basi walikuwa sio watu waliopevuka sana kuhusu siasa na uongozi na walichelewa kurekebisha hii mpaka madhara yanatokea .
uongozi wowote usipokuwa na ukomo ni rahisi kutengeneza udikteta wa mfumo na hii iko dhahiri kabisa ambapo viongozi wengi wanabadilisha katiba ili wawe wafalme halali wa kidemokrasia , mambo amabyo sio sawa . walioweka hii kwa CHADEMA hawakuwa na uwezo mkubwa wa ku predict kukua kwake na madhara yake

Migogoro ni jambo la kawaida , lakini inapotokea inaweza kuwa hatari kuua chama au kukijenga , na hii inatokana na namna ambayo Migogoro inatawaliwa

Tuangalie mfano mzuri wa Migogoro ndani ya Chama cha ANC cha Afrika Kusini kati Nelson Mandela , Chris Hani , Thabo Mbeki , Oliva Thambo na Joe Slovo . Hawa jamaa kuna ambao walikuwa wanaamini kwenye maridhiano na serikali ya makaburu na wale ambao walikuwa wanaamini katika vita na kisasi . Pili kuna ambao walikuwa wanaamini kwenye ujamaa na wengine kwenye ubepari , na migogoro hii huwa inatokea kipindi ambacho chama au kundi linakaribia kushindi au kipindi ambacho ANC ilikuwa na ushawishi mkubwa ndani na nje ya serikali ya afrika kusini

Hapa kuna mifano ya migogoro ya ndani ya ANC iliyotokea katika historia yake kabla ya uchaguzi wa 1994, pamoja na majina ya viongozi waliokuwa katika mvutano na jinsi migogoro hiyo ilivyoshughulikiwa:

1. Migogoro ya Mapambano ya Silaha vs. Majadiliano
Wahusika Wakuu: Nelson Mandela, Chris Hani, Joe Slovo, Oliver Tambo , Mwaka: Miaka ya 1980 na mwanzoni mwa 1990

Tatizo: Kulikuwa na mvutano kati ya viongozi waliotaka kuendeleza mapambano ya silaha dhidi ya apartheid, kama Chris Hani (kiongozi wa Umkhonto we Sizwe - MK), na wale waliotaka majadiliano na serikali ya apartheid, kama Nelson Mandela na Oliver Tambo.

Mfano: Chris Hani, akiwa mwakilishi wa mkakati wa kijeshi, aliona baadhi ya hatua za Mandela za kufungua mazungumzo na serikali ya De Klerk kama kujisalimisha.

Suluhisho: Mandela alifanikiwa kushawishi kwamba majadiliano yalikuwa njia bora zaidi ya kufikia demokrasia, akitumia ushawishi wake kuunganisha pande zote.

2. Mgongano kati ya Viongozi wa Ndani na Wale wa Uhamishoni
Wahusika Wakuu: Oliver Tambo, Thabo Mbeki, Chris Hani, Cyril Ramaphosa , Mwaka: Miaka ya 1980 hadi 1990

Tatizo: Viongozi waliokuwa uhamishoni, kama Oliver Tambo na Thabo Mbeki, walionekana kutokuwa na uelewa wa hali halisi ya vita vya ukombozi ndani ya Afrika Kusini. Viongozi waliobaki nchini, kama Chris Hani na Cyril Ramaphosa, walihisi kuwa maamuzi yaliyofanywa nje ya nchi hayakuwa yanazingatia uhalisia wa matatizo.

Mfano: Hii ilisababisha hali ya mashaka juu ya uongozi wa ANC, hasa baada ya viongozi wa ndani kama Ramaphosa kuonyesha umahiri mkubwa wa kuhamasisha harakati za wafanyakazi kupitia COSATU.

Suluhisho: Mkutano wa ANC National Conference wa 1991 uliwakutanisha viongozi wote, na ulifanikisha mjadala wa wazi ambao ulisaidia kuondoa migawanyiko hiyo.

3. Tofauti za Kiitikadi: Ubepari dhidi ya Ujamaa
Wahusika Wakuu: Thabo Mbeki, Joe Slovo, Chris Hani , Mwaka: Miaka ya 1980 na mwanzoni mwa 1990

Tatizo: ANC ilikuwa na mgawanyiko kati ya wale waliotaka kufuata itikadi ya kijamaa (hasa wale wa South African Communist Party - SACP kama Joe Slovo) na wale waliotaka sera za ubepari wa kijamii (kama Thabo Mbeki) ili kuvutia wawekezaji wa kimataifa.
Mfano: Joe Slovo alisisitiza umuhimu wa utaifishaji wa rasilimali, wakati Thabo Mbeki alionekana kuelekeza sera za ANC zaidi kwenye uchumi wa soko huria ili kulinda uthabiti wa nchi baada ya apartheid.
Suluhisho: ANC ilipitisha sera ya uchumi mchanganyiko (mixed economy) kupitia makubaliano yaliyofikiwa katika Mpango wa Ujenzi na Maendeleo (Reconstruction and Development Programme - RDP).

4. Mgogoro wa Umiliki wa Uongozi kati ya Nelson Mandela na Winnie Mandela

Wahusika Wakuu: Nelson Mandela, Winnie Mandela
Mwaka: Mwishoni mwa miaka ya 1980 na mwanzoni mwa miaka ya 1990
Tatizo: Winnie Mandela, mke wa Nelson Mandela, alihusishwa na vitendo vya ukatili kupitia Mandela United Football Club, ambao ulitajwa kuwa kundi la vurugu. Nelson Mandela alipinga vitendo hivyo, akiona kuwa viliharibu taswira ya ANC.
Mfano: Hali hii ilizua mgawanyiko mkubwa miongoni mwa wanachama wa ANC, baadhi wakimuunga mkono Winnie kwa nguvu yake ya harakati, huku wengine wakimuunga mkono Nelson kwa utulivu na mazungumzo.
Suluhisho: Nelson Mandela alitumia busara ya kidiplomasia kutenga masuala binafsi na masuala ya kitaifa, na hatimaye kuvunja uhusiano wa ndoa yao huku akilinda mshikamano wa ANC.

5. Changamoto za Mamlaka Kati ya Mandela na Tambo

Wahusika Wakuu: Nelson Mandela, Oliver Tambo
Mwaka: 1990
Tatizo: Baada ya Mandela kutoka gerezani mwaka 1990, umaarufu wake ulizidi ule wa Oliver Tambo, ambaye alikuwa ameongoza ANC kwa miongo kadhaa akiwa uhamishoni. Hii ilisababisha mvutano wa kiasili kuhusu nafasi ya uongozi.

Suluhisho: Mandela alihimiza umoja wa chama na alionyesha heshima ya kipekee kwa mchango wa Tambo, akimtaja kama shujaa wa ukombozi wa Afrika Kusini. Tambo pia alionyesha unyenyekevu kwa kumuunga mkono Mandela kama kiongozi wa chama.
Kutokana na historia ya ANC, ni dhahiri kwamba migogoro ya ndani inaweza kushughulikiwa kwa njia ya:

  1. Mazungumzo ya Wazi: Kujadili tofauti za kiitikadi na mikakati.
  2. Kuweka Malengo ya Pamoja: Kuzingatia lengo kuu badala ya matamanio binafsi.
  3. Kuwahusisha Wanachama Wote: Kuhakikisha michakato ya maamuzi ni ya kidemokrasia.
  4. Uongozi wa Hekima: Viongozi wanaopinga migogoro wanapaswa kuepuka maneno ya uchochezi na kuonyesha mfano wa umoja.
CHADEMA inaweza kutumia mifano hii kuondoa mvutano kati ya Mbowe na Lissu, huku wakilenga kulinda mshikamano wa chama kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania.

Naandika haya nikiwa na wasi wasi mkubwa juu ya mvutano unaondelea CHADEMA wakati huu, juu ya hatma yake baada ya uchaguzi wa ndani ya Chama, ni dhahiri kuwa endapo Tundu Lissu asipokuwa mwenyekiti basi hataweza tena kuendelea kuwa mwanachama wa CHADEMA kwa sababu tayari ameshatengeneza maadui ndani ya chama chake kutokana na kauli zake, endapo Tundu Lissu ataondoka CHADEMA madhara yake ni makubwa sana kwa sababu hii haiweze kufanishwa na kuondoka kwa Dr Wilbroad Slaa, Mashinji au Zitto Kabwe kwa sababu kwa sasa CHADEMA hakuna mass Incoming (yaani hakuna watu wengi wenye ushawishi mkubwa wanajiunga na CHADEMA kwa sasa kutoka CCM) tofauti na wakati ule ambao wakati hao waliotajwa wanaondoka basi kulikuwa na incoming wengi zaidi kuliko walioondoka.

Mawazo yangu haya yanakuja kwa sababu napenda demokrasia na maendeleo ya watu wa Taifa langu , Naamini CHADEMA imara itaweza kuisimamia CCM vyema na kuikosoa sawasawa ili kuleta chachu ya maendeleo katika nchi yetu , endapo tutakuwa na vyama dhaifu vya upinzani basi sisi wananchi hatutaona uwajibikaji mzuri ndani ya Serikali yetu.
 
Kaz nzur sana Lasway

Shida kwa CDM ipo complicated kidogo..

Wanasiasa wa Tanzania ni masikini wa vipato .. hawana ajira nyingine yeyote nje ya siasa

Kuwapatanisha imefanyika sana, sasa kuna kundi linaona halinufaiki na lingine linanufaika-CoI

Hapo ndio bla bla za kuita chama cha siasa mali ya Umma na kutaka tukose wote au tulizamishe.

Malengo na mienendo ya CDM yanahitaj akili kubwa sana kuwatoa hapo walipo.
 
Hapo ndio shida kubwa ilipo , tumeona NCCR , CUF na DP wakifa kwa tatizo hili hili sasa wasipojifunza shauri yao
 
Umaskini na rushwa kwa baadhi ya viongozi wakubwa wa chadema ndio vinaenda kukiua chama hicho.
Sasaivi ni mwendo wa kuviziana tu na kunusa nani anapata wapi hela..

Huko CDM kila Mwanasiasa "mkubwa" ana Godfather CCM..

Nilistuka jana kiambiwa kumbe wengine ni waajiriwa kabisa wa Ma Godfather wa CCM alafu wanafoka foka kwenye Camera ...

Umasikini na harakati havikai nyumba moja
 
Viongozi wengi wa vyama vya siasa Afrika wanaotaka au wanaoingia kwa kuwafanyia vurugu wengine wamekuwa hawana mwisho mzuri baadae. Jacob Zuma akiwa Makamu wa Rais na Makamu Mwenyekiti wa ANC alimfitini sana Thabo Mbeki kwamba hafai yeye ndio anafaa. Wanachama wengi wasioelewa wakamuunga mkono Zuma hadi akamng'oa Thabo Mbeki. Kilichofuata wengi tunakijua maana sio tu aliondolewa vilevile, bali pia alifukuzwa.
 
Kazi ilikuwa ndogo Mh; MBOWE kutangaza kumuunga mkono TUNDU LISSU kazi kwisha. Ila sasa MBOWE anajiona hakuna kiongozi mwingine wakuweza kuongeza chadema bila yeye ni tatizo. Sisi huku uswazi tunakosana na watu wa CCM kuitetea CDM kumbe CDM ni ya mtu binafsi amejimilikisha tayari.
 
Power Balance, kazi kubwa kwa CHADEMA ya sasa. Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama kikubwa cha pili kwa Tanzania ukiachana na CCM ambayo ni chama kikubwa na cha pili Afrika kwa utajiri wake ukiachana na ANC ya Afrika Kusini.​
1736144938498-png.3193923

Transformation iliyotokea kuanzia mwaka 2000 mpaka 2015 , yaani miaka 15 ya kufanya siasa , CHADEMA ilijizolea umaarufu mkubwa na kufanikiwa kushawishi vijana wengi na wasomi kuhusu sera zake , wanasiasa wengi vijana walipenda namna makamanda wa CHADEMA walivyokuwa na uwezo mkubwa wa kujenga hoja, kuzitetea na kuzisimamia kiasi cha kuwafanya watu kuona ni farahi kuwa wanachadema.

Ukiachana na mambo yaliyotokea mwaka 2015-2021. (Wakati wa Giza)

CHADEMA imekua na kuwa na watu wenye nguvu na ushawishi mkubwa ndani ya chama na nje ya chama , na kukua kwake kuna matokeo chanya na hasi endapo taasisi haitakuwa imara hasa kwenye katiba yake na utamaduni wake , mfano mzuri naweza kusema kuwa katiba ya CHADEMA ina mapungufu mengi na mojawapo ni kuto kuweka ukomo wa madaraka katika nafasi za uongozi , na walioweka hii basi walikuwa sio watu waliopevuka sana kuhusu siasa na uongozi na walichelewa kurekebisha hii mpaka madhara yanatokea .
uongozi wowote usipokuwa na ukomo ni rahisi kutengeneza udikteta wa mfumo na hii iko dhahiri kabisa ambapo viongozi wengi wanabadilisha katiba ili wawe wafalme halali wa kidemokrasia , mambo amabyo sio sawa . walioweka hii kwa CHADEMA hawakuwa na uwezo mkubwa wa ku predict kukua kwake na madhara yake

Migogoro ni jambo la kawaida , lakini inapotokea inaweza kuwa hatari kuua chama au kukijenga , na hii inatokana na namna ambayo Migogoro inatawaliwa

Tuangalie mfano mzuri wa Migogoro ndani ya Chama cha ANC cha Afrika Kusini kati Nelson Mandela , Chris Hani , Thabo Mbeki , Oliva Thambo na Joe Slovo . Hawa jamaa kuna ambao walikuwa wanaamini kwenye maridhiano na serikali ya makaburu na wale ambao walikuwa wanaamini katika vita na kisasi . Pili kuna ambao walikuwa wanaamini kwenye ujamaa na wengine kwenye ubepari , na migogoro hii huwa inatokea kipindi ambacho chama au kundi linakaribia kushindi au kipindi ambacho ANC ilikuwa na ushawishi mkubwa ndani na nje ya serikali ya afrika kusini

Hapa kuna mifano ya migogoro ya ndani ya ANC iliyotokea katika historia yake kabla ya uchaguzi wa 1994, pamoja na majina ya viongozi waliokuwa katika mvutano na jinsi migogoro hiyo ilivyoshughulikiwa:

1. Migogoro ya Mapambano ya Silaha vs. Majadiliano
Wahusika Wakuu: Nelson Mandela, Chris Hani, Joe Slovo, Oliver Tambo , Mwaka: Miaka ya 1980 na mwanzoni mwa 1990

Tatizo: Kulikuwa na mvutano kati ya viongozi waliotaka kuendeleza mapambano ya silaha dhidi ya apartheid, kama Chris Hani (kiongozi wa Umkhonto we Sizwe - MK), na wale waliotaka majadiliano na serikali ya apartheid, kama Nelson Mandela na Oliver Tambo.

Mfano: Chris Hani, akiwa mwakilishi wa mkakati wa kijeshi, aliona baadhi ya hatua za Mandela za kufungua mazungumzo na serikali ya De Klerk kama kujisalimisha.

Suluhisho: Mandela alifanikiwa kushawishi kwamba majadiliano yalikuwa njia bora zaidi ya kufikia demokrasia, akitumia ushawishi wake kuunganisha pande zote.

2. Mgongano kati ya Viongozi wa Ndani na Wale wa Uhamishoni
Wahusika Wakuu: Oliver Tambo, Thabo Mbeki, Chris Hani, Cyril Ramaphosa , Mwaka: Miaka ya 1980 hadi 1990

Tatizo: Viongozi waliokuwa uhamishoni, kama Oliver Tambo na Thabo Mbeki, walionekana kutokuwa na uelewa wa hali halisi ya vita vya ukombozi ndani ya Afrika Kusini. Viongozi waliobaki nchini, kama Chris Hani na Cyril Ramaphosa, walihisi kuwa maamuzi yaliyofanywa nje ya nchi hayakuwa yanazingatia uhalisia wa matatizo.

Mfano: Hii ilisababisha hali ya mashaka juu ya uongozi wa ANC, hasa baada ya viongozi wa ndani kama Ramaphosa kuonyesha umahiri mkubwa wa kuhamasisha harakati za wafanyakazi kupitia COSATU.

Suluhisho: Mkutano wa ANC National Conference wa 1991 uliwakutanisha viongozi wote, na ulifanikisha mjadala wa wazi ambao ulisaidia kuondoa migawanyiko hiyo.

3. Tofauti za Kiitikadi: Ubepari dhidi ya Ujamaa
Wahusika Wakuu: Thabo Mbeki, Joe Slovo, Chris Hani , Mwaka: Miaka ya 1980 na mwanzoni mwa 1990

Tatizo: ANC ilikuwa na mgawanyiko kati ya wale waliotaka kufuata itikadi ya kijamaa (hasa wale wa South African Communist Party - SACP kama Joe Slovo) na wale waliotaka sera za ubepari wa kijamii (kama Thabo Mbeki) ili kuvutia wawekezaji wa kimataifa.
Mfano: Joe Slovo alisisitiza umuhimu wa utaifishaji wa rasilimali, wakati Thabo Mbeki alionekana kuelekeza sera za ANC zaidi kwenye uchumi wa soko huria ili kulinda uthabiti wa nchi baada ya apartheid.
Suluhisho: ANC ilipitisha sera ya uchumi mchanganyiko (mixed economy) kupitia makubaliano yaliyofikiwa katika Mpango wa Ujenzi na Maendeleo (Reconstruction and Development Programme - RDP).

4. Mgogoro wa Umiliki wa Uongozi kati ya Nelson Mandela na Winnie Mandela

Wahusika Wakuu: Nelson Mandela, Winnie Mandela
Mwaka: Mwishoni mwa miaka ya 1980 na mwanzoni mwa miaka ya 1990
Tatizo: Winnie Mandela, mke wa Nelson Mandela, alihusishwa na vitendo vya ukatili kupitia Mandela United Football Club, ambao ulitajwa kuwa kundi la vurugu. Nelson Mandela alipinga vitendo hivyo, akiona kuwa viliharibu taswira ya ANC.
Mfano: Hali hii ilizua mgawanyiko mkubwa miongoni mwa wanachama wa ANC, baadhi wakimuunga mkono Winnie kwa nguvu yake ya harakati, huku wengine wakimuunga mkono Nelson kwa utulivu na mazungumzo.
Suluhisho: Nelson Mandela alitumia busara ya kidiplomasia kutenga masuala binafsi na masuala ya kitaifa, na hatimaye kuvunja uhusiano wa ndoa yao huku akilinda mshikamano wa ANC.

5. Changamoto za Mamlaka Kati ya Mandela na Tambo

Wahusika Wakuu: Nelson Mandela, Oliver Tambo
Mwaka: 1990
Tatizo: Baada ya Mandela kutoka gerezani mwaka 1990, umaarufu wake ulizidi ule wa Oliver Tambo, ambaye alikuwa ameongoza ANC kwa miongo kadhaa akiwa uhamishoni. Hii ilisababisha mvutano wa kiasili kuhusu nafasi ya uongozi.

Suluhisho: Mandela alihimiza umoja wa chama na alionyesha heshima ya kipekee kwa mchango wa Tambo, akimtaja kama shujaa wa ukombozi wa Afrika Kusini. Tambo pia alionyesha unyenyekevu kwa kumuunga mkono Mandela kama kiongozi wa chama.
Kutokana na historia ya ANC, ni dhahiri kwamba migogoro ya ndani inaweza kushughulikiwa kwa njia ya:

Kutokana na historia ya ANC, ni dhahiri kwamba migogoro ya ndani inaweza kushughulikiwa kwa njia ya:
  1. Mazungumzo ya Wazi: Kujadili tofauti za kiitikadi na mikakati.
  2. Kuweka Malengo ya Pamoja: Kuzingatia lengo kuu badala ya matamanio binafsi.
  3. Kuwahusisha Wanachama Wote: Kuhakikisha michakato ya maamuzi ni ya kidemokrasia.
  4. Uongozi wa Hekima: Viongozi wanaopinga migogoro wanapaswa kuepuka maneno ya uchochezi na kuonyesha mfano wa umoja.
CHADEMA inaweza kutumia mifano hii kuondoa mvutano kati ya Mbowe na Lissu, huku wakilenga kulinda mshikamano wa chama kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania.

Naandika haya nikiwa na wasi wasi mkubwa juu ya mvutano unaondelea CHADEMA wakati huu, juu ya hatma yake baada ya uchaguzi wa ndani ya Chama, ni dhahiri kuwa endapo Tundu Lissu asipokuwa mwenyekiti basi hataweza tena kuendelea kuwa mwanachama wa CHADEMA kwa sababu tayari ameshatengeneza maadui ndani ya chama chake kutokana na kauli zake, endapo Tundu Lissu ataondoka CHADEMA madhara yake ni makubwa sana kwa sababu hii haiweze kufanishwa na kuondoka kwa Dr Wilbroad Slaa, Mashinji au Zitto Kabwe kwa sababu kwa sasa CHADEMA hakuna mass Incoming (yaani hakuna watu wengi wenye ushawishi mkubwa wanajiunga na CHADEMA kwa sasa kutoka CCM) tofauti na wakati ule ambao wakati hao waliotajwa wanaondoka basi kulikuwa na incoming wengi zaidi kuliko walioondoka.

Mawazo yangu haya yanakuja kwa sababu napenda demokrasia na maendeleo ya watu wa Taifa langu , Naamini CHADEMA imara itaweza kuisimamia CCM vyema na kuikosoa sawasawa ili kuleta chachu ya maendeleo katika nchi yetu , endapo tutakuwa na vyama dhaifu vya upinzani basi sisi wananchi hatutaona uwajibikaji mzuri ndani ya Serikali yetu.
Umejenga hoja.

Naomba. nitofautine nawe kidogo.

Lissu kitambo mwaka jana kabla hata Msigwa hajahama alinukuliwa akisena CHADEMA sio mama yake na kuwa kama chama kikiacha misingi yake anaweza kuhana. Nami nikaandika humu kuwa Lissu kuondoka CDM ni suala la muda tu.

Siasa za Tanzania ni za maslahi binafsi zaidi kuliko mafungamano ya kisiasa, yanayofanana ila zimejificha katika ulaghai wa kuwasaidia wananchi.

Vyama ni majukwaa ya kuwawezezha watu binafsi kujijenga kwa umma au kuyatumia kwa ajili ya maslahi ya kiuchumi. Ndio maana unaona upande wa Lissu hautumii busara zaidi bali unasisitiza Mbowe ajitoe ili kupata urahisi wa kuchukua uongozi. Pia upande utakaoshinda utaweka sekretarieti yake na nafasi zingine kwa wapambe wao hapa tunaona ni uchumi zaidi ndio lengo. Wanaharakati wote tena ambao sio Wanachadema wanashinda mitandaoni kwa kupokezana ili kumshambulia Mbowe na timu yake na timu Mbowe nao wanajitahidi kujibu. Hapa kuna manufaa binafsi kwao yatapatikana hasa ya fedha za wafadhili ambazo zitakuwa na conduit ya kuzipitishia na kuzichota kwa kisingizio cha program mbalimbali za capacity building kwa umma.

Bila uongozi kwa Lissu haiwezekani suluhu yeyote ikawepo tofauti na ANC ambayo walitofautiana tu way forward hivyo ilikuwa rahisi kujadiliana na kupata consensus ya pamoja..

Suala lingekuwa ni kila mmoja anadhani yeye anafaa zaidi katika nafasi ya uobgozi suluhu yake ingekuwa rahisi sana kwao maana wangesema tu twende tukapigiwe kura na atakayeshindwa atakubali matokeo na kufanya kazi na aliyeshinda kuendeleza mapambano lakini lugha hii huwezi kuiisikia bali unasikia upande wa Lissu wakishindwa basi wameibiwa kura na upande wa Mbowe wakishinda ni fagia fagia ya wote wa upande wa Lissu kutoka katika chama.

Hatua iliyofikia mgawanyiko ni lazima kwani kundi moja lazima litoke liende zake likaunde au kujiunga na chama kingine.
 
Asante sana kwa kutupatia elimu nzuri,asante sana.
 
Umejenga hoja.

Naomba. nitofautine nawe kidogo.

Lissu kitambo mwaka jana kabla hata Msigwa hajahama alinukuliwa akisena CHADEMA sio mama yake na kuwa kama chama kikiacha misingi yake anaweza kuhana. Nami nikaandika humu kuwa Lissu kuondoka CDM ni suala la muda tu.

Siasa za Tanzania ni za maslahi binafsi zaidi kuliko mafungamano ya kisiasa, yanayofanana ila zimejificha katika ulaghai wa kuwasaidia wananchi.

Vyama ni majukwaa ya kuwawezezha watu binafsi kujijenga kwa umma au kuyatumia kwa ajili ya maslahi ya kiuchumi. Ndio maana unaona upande wa Lissu hautumii busara zaidi bali unasisitiza Mbowe ajitoe ili kupata urahisi wa kuchukua uongozi. Pia upande utakaoshinda utaweka sekretarieti yake na nafasi zingine kwa wapambe wao hapa tunaona ni uchumi zaidi ndio lengo. Wanaharakati wote tena ambao sio Wanachadema wanashinda mitandaoni kwa kupokezana ili kumshambulia Mbowe na timu yake na timu Mbowe nao wanajitahidi kujibu. Hapa kuna manufaa binafsi kwao yatapatikana hasa ya fedha za wafadhili ambazo zitakuwa na conduit ya kuzipitishia na kuzichota kwa kisingizio cha program mbalimbali za capacity building kwa umma.

Bila uongozi kwa Lissu haiwezekani suluhu yeyote ikawepo tofauti na ANC ambayo walitofautiana tu way forward hivyo olikuwa rahisi kujadiliana na kupata consensus ya pamoja..

Suala lingekuwa ni kila mmoja anadhani yeye anafaa zaidi katika nafasi ya uobgozi suluhu yake ingekuwa rahisi sana kwao maana wangesema tu twende tukapigiwe kura na atakayeshindwa atakubali matokeo na kufanya kazi na aliyeshinda kuendeleza mapambano lakini lugha hii huwezi kuiisikia bali unasikia upande wa Lissu wakishindwa basi wameibiwa kura na upande wa Mbowe wakishinda ni fagia fagia ya wote wa upande wa Lissu kutoka katika chama.

Hatua iliyofikia mgawanyiko ni lazima kwani kundi moja lazima litoke liende zake likaunde au kujiunga na chama kingine.
Sahihi kabisa.
 
Power Balance, kazi kubwa kwa CHADEMA ya sasa. Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama kikubwa cha pili kwa Tanzania ukiachana na CCM ambayo ni chama kikubwa na cha pili Afrika kwa utajiri wake ukiachana na ANC ya Afrika Kusini.​
1736144938498-png.3193923

Transformation iliyotokea kuanzia mwaka 2000 mpaka 2015 , yaani miaka 15 ya kufanya siasa , CHADEMA ilijizolea umaarufu mkubwa na kufanikiwa kushawishi vijana wengi na wasomi kuhusu sera zake , wanasiasa wengi vijana walipenda namna makamanda wa CHADEMA walivyokuwa na uwezo mkubwa wa kujenga hoja, kuzitetea na kuzisimamia kiasi cha kuwafanya watu kuona ni farahi kuwa wanachadema.

Ukiachana na mambo yaliyotokea mwaka 2015-2021. (Wakati wa Giza)

CHADEMA imekua na kuwa na watu wenye nguvu na ushawishi mkubwa ndani ya chama na nje ya chama , na kukua kwake kuna matokeo chanya na hasi endapo taasisi haitakuwa imara hasa kwenye katiba yake na utamaduni wake , mfano mzuri naweza kusema kuwa katiba ya CHADEMA ina mapungufu mengi na mojawapo ni kuto kuweka ukomo wa madaraka katika nafasi za uongozi , na walioweka hii basi walikuwa sio watu waliopevuka sana kuhusu siasa na uongozi na walichelewa kurekebisha hii mpaka madhara yanatokea .
uongozi wowote usipokuwa na ukomo ni rahisi kutengeneza udikteta wa mfumo na hii iko dhahiri kabisa ambapo viongozi wengi wanabadilisha katiba ili wawe wafalme halali wa kidemokrasia , mambo amabyo sio sawa . walioweka hii kwa CHADEMA hawakuwa na uwezo mkubwa wa ku predict kukua kwake na madhara yake

Migogoro ni jambo la kawaida , lakini inapotokea inaweza kuwa hatari kuua chama au kukijenga , na hii inatokana na namna ambayo Migogoro inatawaliwa

Tuangalie mfano mzuri wa Migogoro ndani ya Chama cha ANC cha Afrika Kusini kati Nelson Mandela , Chris Hani , Thabo Mbeki , Oliva Thambo na Joe Slovo . Hawa jamaa kuna ambao walikuwa wanaamini kwenye maridhiano na serikali ya makaburu na wale ambao walikuwa wanaamini katika vita na kisasi . Pili kuna ambao walikuwa wanaamini kwenye ujamaa na wengine kwenye ubepari , na migogoro hii huwa inatokea kipindi ambacho chama au kundi linakaribia kushindi au kipindi ambacho ANC ilikuwa na ushawishi mkubwa ndani na nje ya serikali ya afrika kusini

Hapa kuna mifano ya migogoro ya ndani ya ANC iliyotokea katika historia yake kabla ya uchaguzi wa 1994, pamoja na majina ya viongozi waliokuwa katika mvutano na jinsi migogoro hiyo ilivyoshughulikiwa:

1. Migogoro ya Mapambano ya Silaha vs. Majadiliano
Wahusika Wakuu: Nelson Mandela, Chris Hani, Joe Slovo, Oliver Tambo , Mwaka: Miaka ya 1980 na mwanzoni mwa 1990

Tatizo: Kulikuwa na mvutano kati ya viongozi waliotaka kuendeleza mapambano ya silaha dhidi ya apartheid, kama Chris Hani (kiongozi wa Umkhonto we Sizwe - MK), na wale waliotaka majadiliano na serikali ya apartheid, kama Nelson Mandela na Oliver Tambo.

Mfano: Chris Hani, akiwa mwakilishi wa mkakati wa kijeshi, aliona baadhi ya hatua za Mandela za kufungua mazungumzo na serikali ya De Klerk kama kujisalimisha.

Suluhisho: Mandela alifanikiwa kushawishi kwamba majadiliano yalikuwa njia bora zaidi ya kufikia demokrasia, akitumia ushawishi wake kuunganisha pande zote.

2. Mgongano kati ya Viongozi wa Ndani na Wale wa Uhamishoni
Wahusika Wakuu: Oliver Tambo, Thabo Mbeki, Chris Hani, Cyril Ramaphosa , Mwaka: Miaka ya 1980 hadi 1990

Tatizo: Viongozi waliokuwa uhamishoni, kama Oliver Tambo na Thabo Mbeki, walionekana kutokuwa na uelewa wa hali halisi ya vita vya ukombozi ndani ya Afrika Kusini. Viongozi waliobaki nchini, kama Chris Hani na Cyril Ramaphosa, walihisi kuwa maamuzi yaliyofanywa nje ya nchi hayakuwa yanazingatia uhalisia wa matatizo.

Mfano: Hii ilisababisha hali ya mashaka juu ya uongozi wa ANC, hasa baada ya viongozi wa ndani kama Ramaphosa kuonyesha umahiri mkubwa wa kuhamasisha harakati za wafanyakazi kupitia COSATU.

Suluhisho: Mkutano wa ANC National Conference wa 1991 uliwakutanisha viongozi wote, na ulifanikisha mjadala wa wazi ambao ulisaidia kuondoa migawanyiko hiyo.

3. Tofauti za Kiitikadi: Ubepari dhidi ya Ujamaa
Wahusika Wakuu: Thabo Mbeki, Joe Slovo, Chris Hani , Mwaka: Miaka ya 1980 na mwanzoni mwa 1990

Tatizo: ANC ilikuwa na mgawanyiko kati ya wale waliotaka kufuata itikadi ya kijamaa (hasa wale wa South African Communist Party - SACP kama Joe Slovo) na wale waliotaka sera za ubepari wa kijamii (kama Thabo Mbeki) ili kuvutia wawekezaji wa kimataifa.
Mfano: Joe Slovo alisisitiza umuhimu wa utaifishaji wa rasilimali, wakati Thabo Mbeki alionekana kuelekeza sera za ANC zaidi kwenye uchumi wa soko huria ili kulinda uthabiti wa nchi baada ya apartheid.
Suluhisho: ANC ilipitisha sera ya uchumi mchanganyiko (mixed economy) kupitia makubaliano yaliyofikiwa katika Mpango wa Ujenzi na Maendeleo (Reconstruction and Development Programme - RDP).

4. Mgogoro wa Umiliki wa Uongozi kati ya Nelson Mandela na Winnie Mandela

Wahusika Wakuu: Nelson Mandela, Winnie Mandela
Mwaka: Mwishoni mwa miaka ya 1980 na mwanzoni mwa miaka ya 1990
Tatizo: Winnie Mandela, mke wa Nelson Mandela, alihusishwa na vitendo vya ukatili kupitia Mandela United Football Club, ambao ulitajwa kuwa kundi la vurugu. Nelson Mandela alipinga vitendo hivyo, akiona kuwa viliharibu taswira ya ANC.
Mfano: Hali hii ilizua mgawanyiko mkubwa miongoni mwa wanachama wa ANC, baadhi wakimuunga mkono Winnie kwa nguvu yake ya harakati, huku wengine wakimuunga mkono Nelson kwa utulivu na mazungumzo.
Suluhisho: Nelson Mandela alitumia busara ya kidiplomasia kutenga masuala binafsi na masuala ya kitaifa, na hatimaye kuvunja uhusiano wa ndoa yao huku akilinda mshikamano wa ANC.

5. Changamoto za Mamlaka Kati ya Mandela na Tambo

Wahusika Wakuu: Nelson Mandela, Oliver Tambo
Mwaka: 1990
Tatizo: Baada ya Mandela kutoka gerezani mwaka 1990, umaarufu wake ulizidi ule wa Oliver Tambo, ambaye alikuwa ameongoza ANC kwa miongo kadhaa akiwa uhamishoni. Hii ilisababisha mvutano wa kiasili kuhusu nafasi ya uongozi.

Suluhisho: Mandela alihimiza umoja wa chama na alionyesha heshima ya kipekee kwa mchango wa Tambo, akimtaja kama shujaa wa ukombozi wa Afrika Kusini. Tambo pia alionyesha unyenyekevu kwa kumuunga mkono Mandela kama kiongozi wa chama.
Kutokana na historia ya ANC, ni dhahiri kwamba migogoro ya ndani inaweza kushughulikiwa kwa njia ya:

Kutokana na historia ya ANC, ni dhahiri kwamba migogoro ya ndani inaweza kushughulikiwa kwa njia ya:
  1. Mazungumzo ya Wazi: Kujadili tofauti za kiitikadi na mikakati.
  2. Kuweka Malengo ya Pamoja: Kuzingatia lengo kuu badala ya matamanio binafsi.
  3. Kuwahusisha Wanachama Wote: Kuhakikisha michakato ya maamuzi ni ya kidemokrasia.
  4. Uongozi wa Hekima: Viongozi wanaopinga migogoro wanapaswa kuepuka maneno ya uchochezi na kuonyesha mfano wa umoja.
CHADEMA inaweza kutumia mifano hii kuondoa mvutano kati ya Mbowe na Lissu, huku wakilenga kulinda mshikamano wa chama kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania.

Naandika haya nikiwa na wasi wasi mkubwa juu ya mvutano unaondelea CHADEMA wakati huu, juu ya hatma yake baada ya uchaguzi wa ndani ya Chama, ni dhahiri kuwa endapo Tundu Lissu asipokuwa mwenyekiti basi hataweza tena kuendelea kuwa mwanachama wa CHADEMA kwa sababu tayari ameshatengeneza maadui ndani ya chama chake kutokana na kauli zake, endapo Tundu Lissu ataondoka CHADEMA madhara yake ni makubwa sana kwa sababu hii haiweze kufanishwa na kuondoka kwa Dr Wilbroad Slaa, Mashinji au Zitto Kabwe kwa sababu kwa sasa CHADEMA hakuna mass Incoming (yaani hakuna watu wengi wenye ushawishi mkubwa wanajiunga na CHADEMA kwa sasa kutoka CCM) tofauti na wakati ule ambao wakati hao waliotajwa wanaondoka basi kulikuwa na incoming wengi zaidi kuliko walioondoka.

Mawazo yangu haya yanakuja kwa sababu napenda demokrasia na maendeleo ya watu wa Taifa langu , Naamini CHADEMA imara itaweza kuisimamia CCM vyema na kuikosoa sawasawa ili kuleta chachu ya maendeleo katika nchi yetu , endapo tutakuwa na vyama dhaifu vya upinzani basi sisi wananchi hatutaona uwajibikaji mzuri ndani ya Serikali yetu.
Naona umemsahau Govan Archbald Mvuyelwa Mbeki ambaye alikuwa baba yake Thabo😂
 
Sijamsahau ila nimeanza pale ambapo kulikuwa na dalili za kushika dola , kuanzia mwaka 1980 hadi uchaguzi mkuu wa mwaka 1994 , hapa ndio palikuwa na moto sana , balance of power ilifanyika kwa ustadi mkubwa sana
Tangu dalili za kushika dola Govan alishiriki vizuri tu. Wakati huo Thabo alikuwa ni kijana aliyefuatana na baba yake kila ujumbe wa Mandela ulipokwenda. Kumbuka Govan alikuwa Robben Island pamoja na Mandela na walitoka wote😁😎
 
Back
Top Bottom