Balance sheet of life!

Kwa hiyo mnabebembelezana na Rejao hadi mlale wote ama wote mlale? Mtapata CPA,ohooo!

mkwe ukiona mkweo yupo kwenye mazingira ya utata unatakiwa kupiga chabo kwa mbali sio unasogea karibu.
 
Naona umekomalia upande wa trade tuu, elezea pia maana ya life ili twende sawa maana umetutenga sisi wengine. Trade ninayoijua Mimi ni barter trade ambayo haujaiongelea sijui Kama ipo kwenye trade unayoiongelea wewe.
 
kuna vinywaji vyote hapa. Hata ukitaka kinywaji cha kukurestisha in peace pia vipo.
Lol..hicho cha kurestisha mtu in peace labda tukitumie wote ili tukifika huko tuendelee na JF ya huko! Namuona King'asti anatufuatilia kwa karibu. Angalia asipeleke taarifa!!!
 
Kwa kweli hayo macho yako yanawavutia wengi

Lol..hicho cha kurestisha mtu in peace labda tukitumie wote ili tukifika huko tuendelee na JF ya huko! Namuona King'asti anatufuatilia kwa karibu. Angalia asipeleke taarifa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…