Bale vs C Ronaldo

Bale vs C Ronaldo

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Jarida LA Marco limemtbulisha Cr7 kama mchezaji bora,nimejiuliza utafiti huuni Wa mwaka Jana auni link?maana Sikh za karibuni kiwango cha mchezaji huyu dimbani kimekua chini mno has a ukilinganisha na Bale ambae ameonekana kufanya vizuri msimu huu NASA katika ufungaji,hivi kweli Cr7,in bora kuliko Bale kwa sasa?
 
Hizo tuzo ni za 2015/16
 
Sasa Msimu Huu Haujafika Hata Nusu Atapewaje Bale Uchezaji Bora??
Hizo Tunzo ni Za Msimu Uliomalizika Ambapo CR7 alipaform well...

By the way Umri unamuacha mkono katika Soccer Kwa Kasi CR7...
 
Back
Top Bottom