Baleke anayetakiwa kusajiliwa Ulaya ni huyu huyu aliyefunikwa na Ruvu Shooting au mwingine?

Ndo maana Simba huwa twakamatishwa
 
Kwani jana kwenye mechi ya simba v ruvu shutin baleke alicheza?
 
Huyu mshambuliaji wa Simba kidogo kidogo anapotea kwenye game kama ndugu zake Makambo, Kisinda, Miquisone, Moses Phiri, etc

Hii timu ya Ulaya inataka kumsajil akafanye nini kama hapa anashindwa?
Kwani mayele amefunga goli ngapi dhidi ya MARUMO SHOOTING inayoshuka daraja kule ligi ya bondeni?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…