This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,050 Reaction score 5,204 Apr 16, 2023 #1 Baleke yuko pale Simba KWA mkataba wa muda mrefu pale Simba. Poleni Sana ambao habari hii si habari njema kwenu. Fuatilia klipu hapa chini. Your browser is not able to display this video.
Baleke yuko pale Simba KWA mkataba wa muda mrefu pale Simba. Poleni Sana ambao habari hii si habari njema kwenu. Fuatilia klipu hapa chini. Your browser is not able to display this video.
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21,470 Reaction score 40,593 Apr 16, 2023 #2 Kuna watu wana roho za Husda kila wakati. Wao kila siku kibaya cha Simba kizuri chao!!