Balenciaga Shoes

Balenciaga Shoes

BARDIZBAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
5,259
Reaction score
10,078
Hbr za mda huu wanajamvi

Nisipoteze muda sana naona bora niende kwenye uzi moja kwa moja

Wakuu ninashida na viatu vya balenciaga (one pair) chenye gamba jeusi na soli nyeupe

Nimetafuta sijafanikiwa na nimeangalia kama ntaweza kununua mtandaoni naona pia ntahangaika sana maana taratibu ni nyingi lkn pia siiamin sana hiyo njia wakuu.

Hivyo basi kama kuna mtu anafanya biashara ya hivi viatu ani pm tupeane location au kama kuna mtu anajua njia nyepesi ya mimi kuvipata basi naomba anisaidie ntashukuru sanaaa

Au ikishindikana kabisa basi hata kama kuna mtu anajua bei yake anisaidie ntashukuruu

Wasalaaam

13SEPTEMBER
 
Kiwe cha aina hii
s-l400.jpeg

Uko mkoa gani mkuu?

CC Zero IQ
 
agiza tu mm mbona naagizaga kupitia app ya kikuu wananiletea mpaka huku tabora tena wanafikiaga hapa taasisi ya elimu ya wat wazima wanakupigia simu unakuja kuchukua mzigo wako easy tu
Mkuu naomba nikupm

13SEPTEMBER
 
Unataka og au yale maplastik?
Mimi ninavyo og nilipewa zawadi ila sivivai sivipendi nipe $300 tu bei ya kutupa
 
Eti mm niwe na mume anavaa maviatu haya ova anaimba hiphop[emoji23][emoji23] no way..!nitayagawa tu...kuna raba kali nzuri tu aisee.. (hii ni mm)
Ha ha ha ha ndio maana nkasema mm mzee maana siwez hata kuyavaa na nahis ujanan pia nisingeweza kabisaa
 
Back
Top Bottom