Uko mkoa gani mkuu?Hbr za mda huu wanajamvi
Nisipoteze muda sana naona bora niende kwenye uzi moja kwa moja
Wakuu ninashida na viatu vya balenciaga (one pair) chenye gamba jeusi na soli nyeupe
Nimetafuta sijafanikiwa na nimeangalia kama ntaweza kununua mtandaoni naona pia ntahangaika sana maana taratibu ni nyingi lkn pia siiamin sana hiyo njia wakuu.
Hivyo basi kama kuna mtu anafanya biashara ya hivi viatu ani pm tupeane location au kama kuna mtu anajua njia nyepesi ya mimi kuvipata basi naomba anisaidie ntashukuru sanaaa
Au ikishindikana kabisa basi hata kama kuna mtu anajua bei yake anisaidie ntashukuruu
Wasalaaam
13SEPTEMBER
agiza tu mm mbona naagizaga kupitia app ya kikuu wananiletea mpaka huku tabora tena wanafikiaga hapa taasisi ya elimu ya wat wazima wanakupigia simu unakuja kuchukua mzigo wako easy tuNiko Tabora mkuu
13SEPTEMBER
Eti mm niwe na mume anavaa maviatu haya ova anaimba hiphop😂😂 no way..!nitayagawa tu...kuna raba kali nzuri tu aisee.. (hii ni mm)Aisee kumbe nmezeeka namna hii mim daah!!
Ha ha ha ha ndio maana nkasema mm mzee maana siwez hata kuyavaa na nahis ujanan pia nisingeweza kabisaaEti mm niwe na mume anavaa maviatu haya ova anaimba hiphop[emoji23][emoji23] no way..!nitayagawa tu...kuna raba kali nzuri tu aisee.. (hii ni mm)
Ha ha ha ha ndio maana nkasema mm mzee maana siwez hata kuyavaa na nahis ujanan pia nisingeweza kabisaa
Tabora kijijini huko ndio maana hujaviona, uko mnajua kuvaa kanzu tu...Niko Tabora mkuu
13SEPTEMBER
Bora sebago aisee, hayo maviatu sijui yana raha gani plus yale maviatu ya kanye west sijui vijana wenzangu wanayapendea nini..Eti mm niwe na mume anavaa maviatu haya ova anaimba hiphop[emoji23][emoji23] no way..!nitayagawa tu...kuna raba kali nzuri tu aisee.. (hii ni mm)
Bora sebago aisee, hayo maviatu sijui yana raha gani plus yale maviatu ya kanye west sijui vijana wenzangu wanayapendea nini..
Sent using Jamii Forums mobile app