Balile: DPP, IGP, DCI lifutieni taifa aibu kesi ya Mbowe

Mbowe si gaidi, mpango ni kuzima harakati za kudai katiba mpya na yeye alionekana mstari wa mbele kudai, kuachiwa ataachiwa tu, ila kwa sasa ni kumdhoofisha kisiasa ili joto la kudai katiba mpya lipoe
 
Sasa tuambie kwanini wanakimbilia madaraja ya mwisho ya ufaulu wakati ya kwanza yapo?tena wanaweka na sharti kabisa kwamba aanzie division 4 ilhali kuna vijana waliofaulu vizuri wapo mtaani lakini vigezo vya polisi haviwaruhusu?
Wao wamefanya uchunguzi wakagundua unawataja hawapendi kazi wanapenda vyeo kwasasa vyeo hakuna kunakazi ndiosababu wanataka watu wakazi
 
Ila waliotunga hii 'scendo' kumbukeni kuwa kuna Mungu na Mungu huchukia matendo mabaya kama haya!
Uongo na mateso mliyomwandalia Mbowe yatarudi kwenu, watoto na wajukuu wenu lazima wataonja haya!
Kumbukeni wa Tz wengi wanaelewa chanzo cha uhuni huu na sababu zake, ILA kikubwa tambueni kuwa jehenam yenu na vizazi vyenu ,itaanza hapahapa duniani acheni Mungu aitwe Mungu.
 
John amrema Mkurugenzi wa Mawasiliano Chadema alisema wakati alipo kamatwa na Jeshi la Polisi, alisema hivi;

" Mwenyekiti ni binaadamu kama walivyo wengine, hatuwezi kujua mambo yake yote ya siri,.........huenda alikuwa ni vitu alituficha sisi hatukuvifahamu..........."

Uhalifu ni mkakati wa Siri, tuache mahakama ifanye kazi yake.
 
Bado tuone jinsi watu wanne watakavyo kata miti na kuitandaza barabarani kuanzia Dar mpaka Iringa, sijui siku hiyo hakutakuwa na magari barabarani? pia tuone ramani ya vituo vya mafuta vitakavyo chomwa moto! Mavituo yenyewe yamezagaa kila mtaa sijui ramani ya nini! Bora wangesema vitapigwa mabomu angalau uongo ungekaribiana na ukweli.
 
Wakati JPM yupo, huyu mtu aliwahi kuongea kuhusu kuvunjwa kwa Billicanas? Kama hakuongea basi ni mnafiki
 
Mimi nataka kesi hii iendelee tu kwani inatufungua macho ushenzi unaofanywa na watawala na pia inazidi kulivua nguo jeshi la Polisi na uzuri wawakilishi wa nchi wahisani wanashuhudia huu ushenzi.
 
Komredi Balile, inasemekana kuna Malaika washauri walimuonya Lucifer kuacha kupanga uasi dhidi ya Mungu lakini hakutii.
Yanayofanywa na hawa wenye dola ni aibu, ukatili na kufuru mbele ya Mwenyezi Mungu, ni DHAMBI isiyo na maungamo wala kusamehewa mbele ya Mwenyezi Mungu, ni laana kwao , watoto wao na wajukuu pia! Adhabu yao ni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…