Balile: Magufuli katutenda, deni la nje lafikia shilingi Trillion 78

CCM sijui ilimtoa wapi huyu JIWE
 
Hii Makala iko very professional and scholarly. Kama kuna wanafunzi wa Shahada ya uzamili kwenye eneo la fedha, uchumi, biashara na uwekezaji inaweza ikawasaidia sana.

Hongera Missile of the Nation kuweka hapa na mfikishie Deodatus Balile shukrani zake kwa namna alivyochambua. Yeyote atakayeponda atakuwa anatumia tu Uhuru wake wa maoni. Ila hii ndiyo reality ambayo wasomi wanaielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…