The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
unge kuwa una weka updates/summary kwa mjadala wao huo... bahati mbaya ukaishia kuweka cheche na mafuta, haijulikani mafuta ya alzeti au petrol...? watu wana baki kupita wasijue la kufanya...Ila commishner wa kutoka ewura yuko vizuri sana kichwani na ni mzungumzaji mzuri.
CHAWA huyu huyu au ni Mtu mwingine mwenye akili timamu [emoji848][emoji16]unge kuwa una weka updates/summary kwa mjadala wao huo... bahati mbaya ukaishia kuweka cheche na mafuta, haijulikani mafuta ya alzeti au petrol...? watu wana baki kupita wasijue la kufanya...