Balimi extra lager

Mgodo visa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
3,590
Reaction score
3,632
Woouh...!! Dada kanifanyia "SUPRISE" kwa kuniletea bia BALIMI yenye ujazo 500 ml na 5.8 alc........nikiwa Dsm......

Hii ni bonge la ***a toka kule kanda ya ziwa.....bei 1500 ....kwa heri safari 2016....karibu BALIMI 2017....
 
....hujanishawishi bado kwa ninayoyashuhudia yakiwatokea wanywaji;
....Dar hakuna ugali wa mtama na minyama/samaki ya kule
 
Watu tunapo isoma namba, naona visingizio vinaongezeka tu.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
By the way, niliwahi kuinywa sikumoja. Asubuhi niliamka nikiwa sina mning'inio, lakini mdomo ulikua unaninuka utadhani nilikula haja kubwa
 
Atii?!??! Kama umikula nini tena?
 
Kiukweli IPO vizuri ni bia ya kiume ila usipokula utaaibika huku mbeya watu wanazinywa ila in buku mbili popote uendapo ila tumemiss safari ndogo alimaharufu mwendokasi
 
**a (bia) BALIMI (walimaji/ aka wakulima)
 
Tunaita FASTJET..bei rahisi majibu fastaaa


Heineken ya kanda ya ziwa

Ni vitamu hivyoo balaaa,naona sasa vipo mpk nyanda ya juu kusini na kusini vinaenea tz nzimaa


BALIMI EXTRA LAGER
FASTJET

Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
 
Bei 1500 alc 5.8 bia nyingine 2500 the upper with 5.5 alc.....binafsi nimerudi kwenye ratio ya 4 kwa 6000 mbadala wa 4 kwa 10000....amazing...economically...!!
4000 inayobaki nyingi usawa huu.
 
Watu tunalalamika ugumu wa maisha usawa huu, nyie mnakuja na mambo ya kumsifia 'Pombe'! au kwa sababu anatokea kanda yenu? miye sina hamu kabisa na huyo mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…