BalimiI/kirkuu a.k.a fastjet bei ndogo majibu fastaa

BalimiI/kirkuu a.k.a fastjet bei ndogo majibu fastaa

zinginary

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2015
Posts
2,483
Reaction score
1,705
Wazee kwa hii ya awamu ya tano na kuisoma namba huku, nazan mpo pamoja nami kuwa hii ndio bia bora na inakuja kwa kasi ya ajabu sanaaa


Kadri magu anavyo zidi kukaza ndivyo FASTJET inapozidi kuwa tamu

Ukiachana na bapa la dk nyepesi LUSEKELO kinywaji muraa kisicho na tripi nyingi za toilet basi ni FASTJET inafwata kwa ubora kamili na maridhawa


Watu tunywee sana na kwa fujo maisha ni mafupi mnoo wachache wanafika 100yrs old


Tunywee tuu

Ponda rahaa ndio lengo la kuletwa duniani
 
Hii balimi kiboko inatakiwa ipigwe marufuku kama viroba mana ni baba mmoja mama mmoja
 
Hapana wakuu Bia zote za Tbk huwa zinatengenezwa kwa ustadi mkuu balimi ikiwepo kusema baadae utakuta maji au radha tofauti si jambo lililowahi kutokea
Ngoja tuone japo ni kwer hawajawah kuharibu kazi zao
 
zinginary,
5e51e86e9a43d7997a2cae0c59b6b64f.jpg
 
Back
Top Bottom