Piga tatu double double uone kimbembeHii balimi inapewa inapaishwa sana cha ajabu Sijawahi kuinywa,...... Nadhani mwisho wa kusimuliwa ni leo jioni.
Ngoja nijaribu aisee.Piga tatu double double uone kimbembe
Ngoja tuone japo ni kwer hawajawah kuharibu kazi zaoHapana wakuu Bia zote za Tbk huwa zinatengenezwa kwa ustadi mkuu balimi ikiwepo kusema baadae utakuta maji au radha tofauti si jambo lililowahi kutokea
Nitamu ukimix na konyagiHii balimi inapaishwa sana cha ajabu Sijawahi kuinywa,...... Nadhani mwisho wa kusimuliwa ni leo jioni.
Mimi nimepiga 6 naona double doublePiga tatu double double uone kimbembe
Siyo DaudiBalimi uku Nilipo Inaitwa Faru john
Hiyo mixer, roho inaweza ikaacha mwili!!Nitamu ukimix na konyagi