Ako Kwaang
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 324
- 259
Mkuu vijijini bado zipo hizo. Ni mwendo wa kuchoma maini tuKuna miaka nikiwa advance kule..kuna vitu vilikuwa vinaitwa double punch
Baadae zikaja lyder,boss,master nk
Sh 200 kwa kiroba,hakika tulikuwa tunajimaliza sanaa
Maisha ya shule nayoo
Hatari mzeeAh ah ah mkuu ulizipiga kwa fujo nn??
Duh kwaio inashut down kila kona.. m mmh hukawii kupasiliwa mayaiUzuri wa hii bia inauchapa ubongo wote, haiachi sehemu yoyote.
Kama kichwa cha panzi hii ipo kundi la Weka Mbali na Watoto!!!Duh kwaio inashut down kila kona.. m mmh hukawii kupasiliwa mayai
Vp kwani mkuu nmekuudhi, sisi ndo tunawalipa mishahara yenu ya laki mbili na nusu kwa mwezi halafu unajifanya mjuajieeeh mwenyezi mungu ilinde roho yangu, hizi crates ni noma asee
Bia chungu kwa mwanafunzi kwa mkongwe bia tamu kuzidi asaliMimi ni muonjaji wa pombe, ila nashindwaga tuu kuendana na uchungu wake. Hivi hii changamoto ya uchungu huwa mnaitatuaje.? Maana dah, mwaka wa 10 huu unaenda, ila sijawahigi kuuzoea uchungu wa bia.
Matokeo yake nimejikuta muumini sana wa wine.
Tumpatie 750ml trumpMwana kuwa.serious hivi bia chungu kweli??
Sasa distilled beverage unaweza.hata kuonja kweli mkuu??
Unanunu mkanda mzima kisha unazipiga mdogo mdogoKuna miaka nikiwa advance kule..kuna vitu vilikuwa vinaitwa double punch
Baadae zikaja lyder,boss,master nk
Sh 200 kwa kiroba,hakika tulikuwa tunajimaliza sanaa
Maisha ya shule nayoo
bei gani mkubwa [emoji101]Piga tatu double double uone kimbembe
Na mkanda wenyewe unakuta 1500 - 2000 ila kulewa kwake usiombeUnanunu mkanda mzima kisha unazipiga mdogo mdogo
Hata mimi nimeachana na bia nichungu sana zikipoa baridi kingine zinachafua tumbo bora unywe vinywaji vya kigeni vyenye alcohol kubwa 40 kulibo mibia ukizingatia mifriji mibovu bia inakuwa ya baridi kidogo kinywa nusu ishapoa unaanza kusikia uchunguMimi ni muonjaji wa pombe, ila nashindwaga tuu kuendana na uchungu wake. Hivi hii changamoto ya uchungu huwa mnaitatuaje.? Maana dah, mwaka wa 10 huu unaenda, ila sijawahigi kuuzoea uchungu wa bia.
Matokeo yake nimejikuta muumini sana wa wine.
Achen dharauHata mimi nimeachana na bia nichungu sana zikipoa baridi kingine zinachafua tumbo bora unywe vinywaji vya kigeni vyenye alcohol kubwa 40 kulibo mibia ukizingatia mifriji mibovu bia inakuwa ya baridi kidogo kinywa nusu ishapoa unaanza kusikia uchungu