Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huwa unafanyia nini baada ya shughuli?Hivi baadhi ya wadada huwa wanafanya nini na hizi ball dresses baada ya shughuli maalum?!
Huwa wanauza ama?!, maana kuivaa nguo kama hii mara mbili wadada wa mujini huwa wanadai "it's cheap"
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kama wewe ulivyo wa International Kaveli..
Hahahaa sista Nale wacha mas'khara. Mie level zangu bado local sana.
Napenda sana English tone yako. Huwa najifunza written english kwenye bandiko zako za kizungu. lol
You always sound international and classic !
-Kaveli-
Sawa Mkuu,mavazi mazuri sana,lakini unatafutwa kule,Trump ana hali ngumu sana,wewe na LT ze kukoyo mmeingia mitini,timu Putin wamekamata mji.Okay, hapo sawa. Cos zinakuwa za gharama halafu zikae tu bila kazi baada ya shughuli.
Sawa Mkuu,mavazi mazuri sana,lakini unatafutwa kule,Trump ana hali ngumu sana,wewe na LT ze kukoyo mmeingia mitini,timu Putin wamekamata mji.