Sisi tusiojulikana, baada ya muda kupita tunaziirudia tuNaweka halafu nashindwa kuivaa tena...lol
Hivi baadhi ya wadada huwa wanafanya nini na hizi ball dresses baada ya shughuli maalum?!
Huwa wanauza ama?!, maana kuivaa nguo kama hii mara mbili wadada wa mujini huwa wanadai "it's cheap"
Wapi/ Kwa designer gani naweza kushonewa hii vizuri?
Sisi tusiojulikana, baada ya muda kupita tunaziirudia tu
Naona umesifiwa umefurahii weee. hata hautuoni member wadogowadogo.Awww!, thanks!
Ndo uzuri wa JF my dear.
Wote tunajifunza bado! [emoji4]
mieJamani Daby, nani member mdogo mdogo?!
Njoo kule ban haya mambo waachie wengine,wewe "Senior officer"Kwa kweli..
Kuna siku niliona wadada maafuru wa mjini wamevaliana. Hiyo ball gown ilikuwa nzuri kwa kweli, nilimuona nayo mmiliki wa kwanza kwenye event fulani, naona kutokana na umaarufu hakutaka kuivaa tena akampa shoga yake ambae anajulikana pia, na shoga akaivaa kwenye event nyingine. Ilishangaza kidogo cos ni wadada fulani wazito tu mjini.
Kwa kweli..

Kwakweli hata mie mara moja moja, hasa kwenye shughuli za mashosti wengi, naamua kudamshi. Kuna sehemu inabidi uache gumzo/ story.Haha, lee...am sure hata wale wanawake wanaofanya kazi NASA wanapendeza kupendeza mara moja moja ndani ya magauni kama haya. Sembuse mie!
Sawa "Senior Officer," lakini usizamie sana huko,unahitajika sana kuja kuweka mambo sawa kule,maana ze kukoyo nae kaingia mitini,tunamis san nondo zako.Haha, lee...am sure hata wale wanawake wanaofanya kazi NASA wanapenda kupendeza mara moja moja ndani ya magauni kama haya. Sembuse mie!
T ake hii habari nimeipenda, nidokeze vizuri tafadhali tehKwa kweli..
Kuna siku niliona wadada maafuru wa mjini wamevaliana. Hiyo ball gown ilikuwa nzuri kwa kweli, nilimuona nayo mmiliki wa kwanza kwenye event fulani, naona kutokana na umaarufu hakutaka kuivaa tena akampa shoga yake ambae anajulikana pia, na shoga akaivaa kwenye event nyingine. Ilishangaza kidogo cos ni wadada fulani wazito tu mjini.
Uzikusanye unitumie sasaNaweka halafu nashindwa kuivaa tena...lol