blackstone
Senior Member
- Aug 11, 2015
- 147
- 128
Na kocha wako lwandamanina cjui[emoji12]Donald ngoma habari nyingine,wanajidai tu hawamjui!!
kwa hii list yako basi inaezekana mchezaji yoyote anaye cheza kat ya moja ya ligi 3 bora angeweza kuibeba Ballon de orWachezaji wafuatao wakijituma wanaweza kutoa ufalme wa messi na ronaldo kwenye hii tuzo
1.Paulo Pogba
2.Eden Hazard
3.Antonio Griezman
4.Martial
5.Balle
6.Neymar
7.Suarez
8.Sanchez
Taja wengine