hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,203
- 1,007
Ulitizama ana assist ngap?ulitizama nan alichukua golden boot na pichichi award?ukisma hvyo nami Nina swali kuhusu 2013 Ronaldo hakupata kombe ht moja yan kiufupi alikua mbovu ktk achievement kwann alipewa yeye ballon d'or?Mashabiki wa andunje naombeni neno lolote kuhusiana na hii pichaView attachment 1280117
Mwaka jan modric alistahili kuchukua tuzo ebu acha uzwazwa.mwaka Jana modric alionesha kiwango kikubwaHivi umenielewa lakini au just ume reply tu, Point yangu hapo ni kwamba last time 17/18 Cr7 ali deserve kuchukua Ballon D'or lakini akachukua Modric kwa mazingira yale yale aliyochukua Modric ndio yamefanana kwa zaidi ya 90% kwa Vvd, why asichukue yeye achukue Messi, wakati scenario za sasa hivi hazitofautinai na scenario ya last time
Messi ndio playmaker anacheza naafsi tatu barca middle nane ,winger 11 na kiungo kumi.yeye ndio coordinator wa mpira msituletee taarab zenu hapa.ilhali cr7 hawez na hakuwah Fanya hiloHakuna mtu anaecheza kwa kuzungukwa kama Messi, Ibra aliondoka barca kwa sababu ya Messi, Et'oo nae, pia Gaucho aliondoka kwa sababu ya Messi, usitake kudanganya umma. Tena Messi ali shine sana sababu ya kina Xavi na Iniesta sababu kila kitu uwanjani walikua wana ki simplify wao tena bora hata sasa hivi ndio anaonekana kupambana saaana sababu zile huduma zimekata ndio maana hata barca nzima ime shake, issue ya Cr7 kua bora lazima a graph yake ishuke kidogo kwa sababu ya umri umeanza kumtupa mkono, akili inataka lakini mwili unamkatalia
Zwazwa wewe na familia yakoMwaka jan modric alistahili kuchukua tuzo ebu acha uzwazwa.mwaka Jana modric alionesha kiwango kikubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeisha hiyo siwezi kupoteza muda wangu kukujibu kwa sababu hauna adabu
Nimenyamaza bro unaendelea kuongea nn.nyamaza bas.Imeisha hiyo siwezi kupoteza muda wangu kukujibu kwa sababu hauna adabu
Sent using Jamii Forums mobile app