Kwa hali hii Ronaldo atakwenda kweli Paris?
Hii iko Tanzania tu ambako Mwakinyo anashinda sababu ya Magufuli.Hongera Rais wa Jamhuri ya Argentina kwa kuwezesha Messi kuingia kwenye tuzo hii
Wa kuvizia kafunga bao la kuswazisha jana toka october anakimbia kimbia zile cross za kina Ramos na Pepe hamna kule kila mtu mfungajiNasikia kura zimeshavuja, The GOAT! Messi kachukua afu Mzee wa kuvizia kashika nafasi ya NNE nyuma ya Salah. Nasikia na wandaaji wa tuzo wiki iliyopita walikua Barcelona kuchukua video za Messi na kufanya mahojiano nae.
Note, sio official lakini ni rumors
Soma huko?Updates zikoje?
Atakuwa anachezea nauli bora aitumie kesho kupanda daladala za kwenda zoeziKwa hali hii Ronaldo atakwenda kweli Paris?
Maendeleo hayana chama waunge juhudi na wao washinde kama awamu ya 5Hongera kwa awamu ya tano inayoongozwa rais John Pombe Magufuli kwa kumuwezesha the G.O.A.T king Leo Messi kuwa na nafasi kubwa ya kutwaa hii tuzo... Bila shaka kina Dajk na wenzake walikosea kujaza form...
Golokipa bora: Alisson Becker
Golokipa bora: Alisson Becker