Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Mchezaji Lionel Messi amfanikiwa kunyakua tuzo ya sita ya Ballon D' or zilizofanyika usiku huu Jijini Paris, nafasi ya pili kinyang'anyiro hicho imeenda kwa mchezaji Van Dijk, huku mchezaji Cristiano Ronaldo akishikilia namba tatu.
Aidha katika tuzo hizo mchezaji Matthijs de Light ameibuka mshindi wa tuzo ya mchezaji bora kijana huku Jadon Sancho akishika nafasi ya pili na Joao Felix akishika nafasi ya tatu.
kwa upande wa tuzo ya kipa bora imeenda kwa Allison Becker anayekipiga kunako timu ya Liverpool huku nafasi ya pili ikienda kwa Ter Stegen na nafasi ya yatu ikienda kwa Ederson.
aidha, Ballon D or kwa upande wa wanawake imeenda kwa mchezaji Megan Rapinoe ambaye ni raia wa Marekani.
Je, wamestahili?