Ballon d'Or 2019: Lionel Messi ashinda tuzo ya sita ya Ballon d'Or awabwaga Virgil Van Dijk na Cristiano Ronaldo

Vvd kafanya nini(individual performance)
Au kwa kuwa Cr7 hana vigezo hutaki mess apate ili waendelee kuwa sawa
 
Kashinda UEFA ,Kamaliza nafasi ya pili katika kombe la euro 2019 ,kashinda super cup ,akiwa na Liverpool
Hio uefa si ndo kina origi na mane pamojana kipa wao ndo walitia chachu

Bora ungenambia mchezaji kama bernando

Ana EPL
FA
CAPITAL
UEFA NATIONS

Sio takataka VVD

Kwangu mm huyo asingenusa hata top 3
 
Acha wenge..hao ni team man u.liver.na madrid...mbona mimi nimetoka YouTube kwenye channel ya fifa...kuna mafuriko ya text zinazompa pongezi
 
Kama kigezo ni makombe basi Allson Becker alistahili kuliko wote mana ana uefa champions league na coper America, ila kwa individual performance hakuna aliyemfikia messi kwa mwaka huu tuacheni unazi VVD hajaibeba liverpool ila Liverpool ndo imembeba VVD , barcelona haijambeba Messi ila Messi ndo anaibeba Barcelona Bila VVD Liverpool bado ni timu tishio barani Ulaya ila bila Messi barcelona ni sawa na Azam Fc
 
Mwambie kwanza kwa makombe hata mahre, anayo mengi kuliko VVD

Bernando pia mengi kuliko VVD
 
Mnyan'ganye man.kama wamezingua
 
Hahahahahahahahah SERIOUS Leo hii VVD apate Injury hata miezi 3 nje Liverpool haiwezi kusheki Mkuu,Acha utani Mkuu acha kuongea vitu kiutaniutani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…