dokolombwike
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 373
- 616
Nipo na ist pamoja na hii balloon chaser, 4cylinder, cha ajabu naipenda sana hii balloon, kweli watu walitulia sana kuitengeneza hii gari,kwanza nzito,inatulia barabarani,halafu ni very comfortable,pia system ya shockup iko poa sana,hata kwenye rafu road imetulia sana,ushaur wangu tafuta gari nzuri usikimbilie fasion