Mshambuliaji nguli wa Man City Mario Baloteli ameutetea uamuzi wake wa kutoshangilia mara afungapo goli kwa kusema kwa ufupi kwamba mashabiki ndio wa kushangilia na sio mfungaji
Analazimika kuwa mtukutu kutokana na maisha na mazingira magumu yanayowakabili hususan wachezaji weusi!!! na kwa kweli ni uwezo wake tu wa kuoachika mabao unaomfanya apate namba katika kikosi cha Mancini.......
...................amekesha klabu na kachezesha dk 90 kumkomoa kama alivyofanyiwa Rooney ambaye hakumaliza hata dk 20 anasinzia uwanjani, huyu jamaa alimaliza zote 90 na akapachika bao dhidi ya Bolton........Kwa jeuri yake ameajiri wazungu tupu kwenye vitega uchumi vyake,
Hana makuu, uwanjani yeye ni nyavu tu na kuangalia aina yoyote ya MDUDU anayetaka kumuonea....hata yalemaneno WHY ALWAYS ME...yalikuwa na maana pana sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.