Balo gani unataka nikutajie bei ya Godown?

Sitangazi biashara mkuu nafanya kwa upendo tuu kwasababu nimeona godown bei ipo chini na mimi ndio ninapochukulia so mtu akiwa interested namconnect direct akachukue mwenyewe. Elewa SITAFUTI WATEJA HUMU.
Bale moja kinaliwa na pc ngapi za nguo
 
Huyu mzala katoa code nzuri kwa wahusika safi sana kamanda shida ya JF wasiohusika na hiyo kazi wanauliza kwa kuzihaki..
 
Wakuu nilikua nje ya jamii forum kwa mda kidogo baadae nitawajibu.
 
Huyu mzala katoa code nzuri kwa wahusika safi sana kamanda shida ya JF wasiohusika na hiyo kazi wanauliza kwa kuzihaki..
Shukrani kaka, wengi sio wafanya biashara ya mtumba wanazingua tuu na mimi nimejitolea tuu for free kuwatajia bei zenyewe za godown na kuwapeleka bure kabisa bila gharama zozote kwasababu huko mtaani wanapigwa balaa.
 
Balo la sindiria
Mkuu sidiria na soksi ni magendo hua zinauzwa kisiri sana hata godown huwezi kuzikuta na ukiulizia unaambiwa hazipo wanahisi unataka kuwachomesha, hua mchina anawauzia watu anaowaamini yeye mwenyewe so hata bei sizijui ila nitamuuliza mmoja wapo anayepewa then nitakupa jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…