Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Mnajaza mizaha kwenye mambo serious kweli! .Ndio mkuu Godown ni "THITHIEM" code iyo chukua itakusaidia.
Iyo quote sijui nilikua namjibu nani na aliniuliza nini? Mkuu mimi siuzi baloo wala simconvice mtu aje nimpeleke so relax.Mnajaza mizaha kwenye mambo serious kweli! .
Swali linalosumbua wengi ni hizo code ulizoweka bila kutaja bei za wazi.
Wadhani kila mtu anazielewa hizo code za wauza lonya?
Ladies jeans 170k , top za kike ni 160k baloo za kilo 40. Bei za godown.Bei ya jeans za kike na pia bei ya top za kike
Mchanganyiko kuna baloo namba moja na namba mbili. Mfano baloo za jeans zinakuwepo grade A na B.Hii grade gan?,
Men jeans 550k, Men winter shirt 480k baloo za kilo 95.Ungeweka na bei za sasa tujue
Mfano jeans za wakubwa grade 1 na shati grade 1 ni bei gani?
Hizo men winter shirt ndio zile dog dog nzito?Men jeans 550k, Men winter shirt 480k baloo za kilo 95.
NdioHizo men winter shirt ndio zile dog dog nzito?
029b na 048b
029b 380k, 048b 380k029b na 048b
Naomba bei
Nitakupa jibu wait niulizie kwanza.Mkuu niliuliza kipindi fulani bales za viatu zikoje na bei zake
Hujanijibu hapo juu nimekuuliza kuhusu bale za watoto bei za godown ni sh.ngapi.mimi huwa nachukulia mnazi mmoja.Nitakupa jibu wait niulizie kwanza.