Balo la viatu vya Mtumba

Mkuu mie napenda sana viatu "Sio kibiashara", naomba unielekeze hapo ambapo huwa unanunulia ili niwe natimba hapo kuwachukulia madogo.
 
Ukimaliza hawa jamaa wa barabarani kulia utakuta kama kibarabara kinaingia kulia afu kuna wana wanakupokea kwa bashasha so ukiingia ndani nenda kidogo chochora kulia utaona vyombo vimepakiwa huko, huko kuna shoes kali kinoma!

Barabarani wanaweka ronya sio ila wale jamaa wasumbufu sana aisee ni wasumbufu kinoma yani
 
Ukitaka kiatu cha mtumba cha moto nenda hapo sumbawanga mtaa wa kiwelu ,sijui wanakotoa mzigo ,ila mzigo ni wa moto

Ukitaka kiatu cha mtumba cha moto nenda hapo sumbawanga mtaa wa kiwelu ,sijui wanakotoa mzigo ,ila mzigo ni wa moto kwelikweli
VP mkuu, naomba unisaidie details za hapo na napanda gari za wap kutokea stand kuu. Na muda mzuri wa kupata viatu vikali . asante
 
Unachagua unakuwa na guarantee ya kwamba pair 30 zinazouzika ?

Unanunua Robota una uhakika gani kuna hata pair 20 zinazouzika ?

Moja ni uhakika nyingine ni kamali
 
Uganda,tupeane connection kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…