Balo za mtumba

Pritty wa joseph

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
2,379
Reaction score
2,047
Pals habari zenu,

Nahitaji nianze kuuza nguo za mitumba. Je, ni sehemu gani wanauza mabaloo mchanganyiko ambayo ni mizuri na bei yake inaridhisha?

Nipo Dar
 
Mimi nina balo za viatu vya kike na kiume. Nimeenda kuchagua mwenyewe china, mzigo uko poa sana. 25kg kila bag moja na bei ya ni 130,000 kwa ladies flat shoes and 250,000 kwa men canvas shoes. Viatu hivi ni kama vipya kabisa na mzigo upon Tanga na container nyingine natoa Dar wiki hii. Nitafute tufanye biashara. 0715603603
 
thanx dear nakuchek bt mimi nataka za nguo
 

Safi sana mwachalika
Ila ungeongeza taarifa kidogo tu ipi uwezekuwashawishi watu wengi zaidi.
Mfano idadi ya viatu kwa balo
 

Safi sana mwachalika
Sasa ongeza taarifa kidogo tu ili uwezekuwashawishi watu wengi zaidi.
Mfano wastani wa idadi ya viatu kwa balo
 
mwachalika nataka kujua kama balo zako zina raba za all star snicker au dizain gani zaidi. na wastan ni viat vingap kwa balo men
 
For men shoes is about 46 to 48 pairs big size per 25kg bag and ladies is about 55 to 60 pairs per 25kg bag. Remember I have selected myself so don't worry about the quality and when you come I will open the bags to see yourself. All men shoes are canvas shoes and ladies are flat shoes
 


Unaweza weka sample kwa picha hapa?

kuna kijana Wa kazi nataka nimpe mtaji aanze hiyo biashara...
 
mwachalika nitakutafuta.niko tanga..nguo vip?
 
Very attractive... Ka picha muhimu sana..!!
 
Mmh kumbe china kuna mitumba pia mimi nilikuwa najua kwa wazungu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…