Baloon inauzwa

mnozya

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2009
Posts
213
Reaction score
56
Nafurahi kuwatangazia kuwa Baloon Cresta, 4 Cylinder iko katika hali nzuri, inatumika kuendea ofisini na kurudi. Inatumiwa na my wife kwa matumizi ya nyumbani tu.

Matairi yote ni mapya.

Bei ya kuanzia kubargain ni TZS 5.5 Million Ukomo wa kubargain kwa mtu ambaye ni mnunuzi wa kweli ni TZS 4.5 Million.

Sababu ya kuuza
Nanunua gari aina nyingine ili nibadilishe RADHA.

Mawasiliano
0712 227413
 
Mkuu mbona maelezo hayajitoshelezi?
Tunaomba utuwekee vifuatavyo;-
-picha ya gari yenyewe.
-gari imetengenezwa mwaka gani?
-gari imetembea km ngapi?
 
Weka picha tuone bana. Nami nataka kubadili ladha ya Rav 4!
 
Mkuu ukishauza hiyo njoo uchukue kwangu Corolla ya 1999 imetumika mwaka mmoja tu. ukija na 6.5m nakuachia ila ukiongea vizuri tutaangalia.
 
Mkuu ukishauza hiyo njoo uchukue kwangu Corolla ya 1999 imetumika mwaka mmoja tu. ukija na 6.5m nakuachia ila ukiongea vizuri tutaangalia.

It is fine, ila napenda kwenda vertical na si downward si unajua tena mkuu mambo ya RADHA? Kutoka kwenye PUTO kwenda kwenye corolla.

Ila nitajitahidi pia kuwapasha habari wengineo
 
Mkuu ukishauza hiyo njoo uchukue kwangu Corolla ya 1999 imetumika mwaka mmoja tu. ukija na 6.5m nakuachia ila ukiongea vizuri tutaangalia.

mkuu nimependezwa na hiyo offer ya Corolla 1999, naomba picha tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…