Balotelli na Ronaldinho nani zaidi?

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Posts
5,606
Reaction score
1,711
Wote wawili wanatambua kuwa Ronaldo Lima ni mkali kuliko wao. Pia wanakiri ndiye mchezaji waliyekuwa wanamhusudu kuliko wote. Maadam tunajua kuwa Ronaldo wa ukweli ni zaidi yao, swali lililobaki ni: Je, na zaidi kati yao?

"There are many great players, but Ronaldo was the greatest and so one word from him is worth a thousand from the others" - Mario Balotelli http://www.tribune.com.ng/index.php/sports/19506-balotelli-i-want-to-meet-ronaldo-for-counselling

"Ronaldo for me was an idol, I was inspired by him in everything" - Ronaldinho Gaucho http://www.goal.com/en-us/news/3296...-sad-at-ronaldos-retirement-as-he-was-my-idol

 
wote waliotajwa hapo wamechezea AC Milan...
Hapo ndo utagundua ili ukamilike basi ni lazima ukakipute AC Milan...

Naomba kufunga mjadala.
 
wote waliotajwa hapo wamechezea AC Milan...
Hapo ndo utagundua ili ukamilike basi ni lazima ukakipute AC Milan...

Naomba kufunga mjadala.

Tehe Tehe naona umeshindwa kubishana na Idol wako Ronaldinho ambaye Idol wake ni Ronaldo!

 
Last edited by a moderator:
Tehe Tehe naona umeshindwa kubishana na Idol wako Ronaldinho ambaye Idol wake ni Ronaldo!



Nitabishana na wewe, lakini siwezi bishana na mtume na nabii wa mwisho wa Soka...
Dinho the Saint
 
Last edited by a moderator:
Nitabishana na wewe, lakini siwezi bishana na mtume na nabii wa mwisho wa Soka...
Dinho the Saint

Kweli aisee tumeshauriwa kuitikia ujumbe wa manabii, nimefarijika kuona unaukubali ujumbe wa nabii Dinho kuwa Ronaldo ndiye mkuu kuliko yeye - yaani hata hastahili kulegeza gidamu za daluga lake!

 
Mario ni mchezaji mzuri ila honestly bado hajafikia kiwango cha kulinganishwa na Ronaldinho!

Hebu mpe Dinho heshima yake sio kuja tu kulinganisha na yeyote tu,eti kisa wamecheza timu moja katika nyakati tofauti!

Kwa mtindo huu, hamchelewi kumlinganisha Dinho na Samata!! Huwa wanaanza hivi hivi!!
 

Una utani na huyu jamaa hapo chini nini?

 
Eee bwana we! yaani watu wameshiba Pilau halafu wewe unawaletea Ugali wa Mhogo na Chunga doo!, Hivi hata historia tu ya soka hujui? au ni lini ulisikia angalau Baloteli amekua nominated kugombea angalau mchezaji bora wa Ulaya?
 
sio tu humtendei haki Dinho,vile vile sio busara kumlinganisha na Barlo

kudribo, kufunga, pasi za mwisho na kuchezesha attacking squard
 
De lima alikuwa mkali kwenye kufunga, namba 9, ndio maana huwezi kumlinganisha mchezaji wa namba nyingine kama ronaldinho ambaye alikuwa mchezeshaji ni vitu viwili kila mtu ni mkali kwenye eneo lake japo ronaldinho alikuwa anafunga pia, ndio maana hata huwezi kumlinganisha na baloteli. kwanza hata hawalingani hadhi achilia mbali namba uwanjani.
kama unataka na wa kumpambanisha mpambanisha ronaldinho na zizou.
 

"Ronaldo for me was an idol, I was inspired by him in everything" - Ronaldinho Gaucho http://www.goal.com/en-us/news/3296/...he-was-my-idol

Kwa tafsiri ya haraka haraka hapo Ronaldinho anasema kuwa kila kitu alichokuwa anakifanya uwanjani kilitokana na alichofanya Ronaldo!
 
Companero Kwani mimi nimekataa, nachojaribu kusema ni kuwa hawa ni watu (ronaldo & ronaldinho)wanaocheza namba mbili tofauti na majukumu mawili tofauti ni vigumu kuwalinganisha kiuchezaji. kwamba ronaldinho anamuadmire ronaldo, hyo sio issue kwani wachezaji wote wanakua na role model wao hata mesi anaye role model wake. hata hivyo mimi sina shida sana na hili ila shida yangu kubwa ni kumlinganisha ronaldinho na baloteli.
 
Last edited by a moderator:

kwa hiyo unakubali kuwa ronaldo ni mkaree kuliko ronaldinho?
 
Hiii Topic ingefutwa tu msianze kumfananisha Balotelli na Ronaldinho sasa bado hajafikia huko na hatujui kama atafikia, Kuhusu ROnaldo Lima jamaa alikuwa Pure Basic Striker anajua goli lipo wapi ana Speed ana nguvu na skill ya kumtoka Kipa hapa kwa hapa ila Ronaldinho ni kitu kengine jamaa alikuwa Artists wa mpira wa miguu na kavumbua vitu ambavyo mtu ulikuwa ukitizama unasema ???? :A S 39::yo:???? <------- ndio unachosema .
 

Yaani unabishana na Ronaldinho mwenyewe anayekuambia kajifunza kila kitu kwa Ronaldo?

 
Last edited by a moderator:
Nilichogundua hii nani zaidi ndio inapoteza watu,mwishowe mtakuja sema ngasa na Christiano nani zaidi,cjaona wakusema nani zaidi vipindi vya kuwika tofauti aina ya wachezaji tofauti au mnaangalia nini kufunga magoli c hata mabeki wanatupia namna ya uchezaji wako striker wa kutengewa na wakutafuta apasie nyavu,si shangai nilishawahi kusikia eti nani mkali kati ya dogo janja na asley mbarikiwe.
 
hakuna kama ronald asis de moreira ronaldinho gaucho.aaah dinhooooo
 
Yaani unabishana na Ronaldinho mwenyewe anayekuambia kajifunza kila kitu kwa Ronaldo?

hata waalimu huwafundisha watu na baadae huzidiwa maisha na waliowafundisha,ronaldinho anachokifanya ni kulipa fadhila lakini dinho ni zaidi ya mcheza soka.dinho ni mungu wa mpira kwangu mimi lakini.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…