nne hazitoshi! kosa alilofanya alistahili ban ya mechi tano mkuu! nahisi jamaa anabwia unga!
Huyu mchezaji mzuri lakini mpuuzi sana, ile foul ingempata yule mchezaji maeneo ya kichwa pengine ingekuwa msiba pale uwanjani. Mechi nne hazitoshi, angefungiwa hata mechi kumi na pia angekatwa mshahara ili ajifunze.
mkuu uliangalia mechi lakini? acha ushabiki usio na mpango,lile ni kosa la makusudi kabisa,wabongo tuache siasa kwenye kila kitu,mpira always ni fair play kaka!!Naona soka la uingereza sasa linazidi kukomaa kisiasa,ili man city asiwe bingwa,ili man u awe bingwa FA tunahitaji kutoa adhabu sana hasa kipindi hiki hasa kwa wachezaji wa man city
Tuache unazi na ubazazi,ni mara ngapi Rooney alikuwa anafanya utumbo uwanjani?mara apigane mara atusi mbona treatment haziko fairly?ni juzi tu mchezaji mmoja kanitoka kidogo wa wolves kampiga mwenzie kwa teke la nyuma tena vibaya mpaka akapewa straight red lakini mbona yaliishia hapo i.e ataikosa hyo mechi na zingine 2 zijazo,sasa kwa nini B.apewe siku 4 zote za nini kwamba kuanzia mechi ya kesho na ambayo kimsingi si Premier ...kwamba amekosea FA afungiwe mpaka Carling ama Premier afungiwe mpaka FA?kweli?
Why inconsistent that much,na nyinyi mnaosema ingekuwa hata miezi3 mmezoea Tff yenu ambayo haioni aibu kumfungia mtu hata miezi6 alafu baadae wanategemea mpira ukue,lazima tujiulize kwa kina maana ya adhabu flani hasa ni nini?ni kuregulate ama ni kudissolve kabisa,ni kukomoa ama kusaidia?vinginevyo mnaweza kukuta mnatoa maamuzi kihisia ama wakati mwingine ili fulani afurahi..pole sana B,naamini timu yako itaendelea kuwashika wabaya wote
Sie wadau tunaenjoy flavour ya sahv ya premier kwasababu imekaa vizuri na imeonesha ushindani na ndo tunafurahi sasa wengine wanaanza fitina ili fulani apite,ili fulani asipite,inakuwa kama ya bongo ambayo nilishanawa mikono make ni lazima Yanga,ni lazima Simba hata siasa zenyewe haziko hivi tena leo
Naona soka la uingereza sasa linazidi kukomaa kisiasa,ili man city asiwe bingwa,ili man u awe bingwa FA tunahitaji kutoa adhabu sana hasa kipindi hiki hasa kwa wachezaji wa man city