Balozi Abbas Sykes asomewa Khitma Zanzibar

Balozi Abbas Sykes asomewa Khitma Zanzibar

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
BALOZI ABBAS SYKES ASOMEWA KHITMA ZANZIBAR

Ndugu, jamaa na marafiki wa Balozi Abbas Sykes jana walimsomea khitma Msikiti wa Makuti Kisiwandui.

Wanasiasa wanapenda sana pale wapouzungumza Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kusema kuwa muungano baina ya watu wa nchi hizi mbili ulikuwako kwa miaka mingi hata kabla ya nchi hizi kuungana na kuwa Tanzania.

Hakika yawezekana.

Historia ya Zanzibar na uhusiano wake na Tanganyika baada ya mapinduzi ni nzito sana kuihadithia.

Itaendelea...

 
Back
Top Bottom