TANZIA Balozi Dkt. Deodorus Kamala afariki dunia

Si ndio hapo aliuliza "what is nkende?"😂. Nilihadithiwa miaka ya baadae. Ni ngedere walikuwa wanakula mazao kutokea misitu jirani.
Nahisi alijibu kwa utani na wala hakuchukua hatua wakasema anawakejeli.
Wakati suluhisho la tatizo kama hilo maeneo mengine ilikuwa ni kukodisha bunduki msimu wa mazao na kushoot siku kadhaa ngedere wanahama wenyewe. Sasa bureaucracy iliyopo kwa wananchi kukodi bunduki ndio waliomba msaada wake.
 
Kuna mama mmoja ninasubiri mume wake arest in peace,

Nitamuoa trust me.

Mume wake aliwahi kuwa Kiongozi mkubwa wa Taifa ili na huyo mama ni mh KULE kwenye mjengo Dodoma.

Sitafanya makosa.

Mzee Mandela alivuta mke wa Samora wa msumbiji.

Mimi nitavuta mke hapo karibu na chalinze kuelekea dar na morogoro
 
Btw, Rwegasira yupo?.
 
Ndio, mzee wetu Joseph Rwegasira bado yupo hai. Kwa wasiomjua aliwahi kuwa waziri wetu wa mambo ya nje enzi za utawala wa mzee Mwinyi.
Namkumbuka huyo mzee kipindi hicho akiimbiwa "Rwegasira nayera...."
 
Ndo aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo nyuma ya Kamala.
Siwezi kamwe kumjua mkuu. Kamala anaanza kuwa mbunge ni 2000, sijui lolote la mwaka huo. Mara ya kwanza kusikia neno uchaguzi ni 2005 na penyewe nilijua ni aina ya harusi kubwa sana. Na Kikwete nilijua ni Bwana Harusi alafu Mkapa ni Askofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…