Pre GE2025 Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi apokelewa Kifalme Mkoani Shinyanga. Watu wafurika na kumiminika hata sisiminzi hawezi kupata nafasi ya kupenya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hizo hadaa zenu za kukusanya watu kwa malori ni sawa na kupiga punyeto tu, mnajidanganya wenyewe ndiyo maana kule Itilima kauziwa mbuzi kwenye sandarusi.
So wakijaza Chadema hawakusanyi watu kwa malori ila kwa CCM ndio wanakusanya watu kwa malori au sio
 
Embu Nenda tuone ukawakusanye watu kwenye hayo malori kama unaweza fanikisha kupata maelfu kwa maelfu ya watu wanaohudhuria mikutano ya CCM.
Jibu zuri sana...kuna kitu kinaitwa hiyari watu wanashindwa kufaham. Mwenye hiyari ni rahisi kumuwezesha na akakubali kufanya kile atakacho.

Kwenye hiyari kuna mapenzi na utayari wa kutenda. Hata upeleke ndege pasipo na hiyari watu hawatokwenda. Ndio maana wazee wa zamani walisema, "hiyari yashinda utumwa"...
 
Umeyapa jiwe zito sana haya ma CHADEMA
 
hapa kuna vimelea vya uchawa, kaa mbali na Mwashambwa asije akakufundisha.
 
CCM ndio agenda ya Taifa hivi sasa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa November 27 2024, na ule uchaguzi mkuu ujao 2025..

Asanti sana waTanzani, asanti sana Dr Samia Suluhu Hassan..

Taifa linajivunia wewe 🌹
 

Attachments

  • JamiiForums1012362808.jpeg
    39.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230918-210933.jpg
    109.2 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…