Pre GE2025 Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi: CCM Itawashinda Wapinzani Kwa Namna ambayo hawajawahi kushindwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wizi wa kura hakuna jipya.
 
Wako busy kwanza na mechi ya Simba na yanga jumamosi ijayo
 
Ikishinda kwa kishindo kwa faida ya umma na free & fair election ""true democracy"" haina SHIDA. Shida ikiwa vice versa.

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Kuna changamoto nyingi kwenye zoezi uandikishaji kwenye daftari la wapiga kura. Nini kipo nyuma ya pazia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…