Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ataongoza Wajumbe wa Secretarieti kufanya ziara nzito sana ya ukaguzi wa utekelezaji wa ilani ya CCM,kusikiliza na kutatua papo kwa papo kero za wananchi pamoja na kuhamasisha watu kuiunga mkono CCM katika uchaguzi wa serikali za Mitaa katika mikoa ya Simiyu na Shinyanga na mambo mengine mbalimbali yanayogusa Maisha ya watu kama ilivyo kawaida ya CCM kuzungumzia Maisha ya watu.
Ziara hiyo itaanza tarehe 6 yaani kesho kutwa au waweza kusema kushinda kesho. Ambapo Wananchi wote Mnapaswa kuhudhuria mikutano hiyo bila kukosa wala kupanga kukosa .kwani utapata kufahamu masuala mbalimbali lakini kupata majibu kwa swali lolote lile utakalo kuwa nalo.
Kumbuka ilipo CCM ndipo ilipo serikali hapo hapo.CCM kazi yake ni kusikiliza na kutoa majibu.Tofauti na wale wapinzani Ambao kazi yao ni kulalamika lalamika hovyo hovyo Utafikiri watoto wa chekechea. CCM yenyewe hailalamiki bali inatoa majibu na kuleta suluhu na majawabu.
Sasa wakati CCM ikiendelea kujiweka karibu na watanzania na kuwahudumia .upande wa pili CHADEMA ni huruma na masikitiko sana .chama hakina mwelekeo wala Dira, hakieleweki kinasimamia nini wala ajenda yake ni nini kwa maisha ya watu.hakina ajenda wala sera wala hoja zenye kugusa maisha ya watu.muda wote ni kutoa lugha za hovyo na chafu na kuhamasisha mambo yasiyo na mashiko wala tija kwa watu.
Soma Pia: Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Katibu Mkuu wa CCM Kuongoza Secretarieti Katika Ziara Nzito ya Mikoa Ya Kusini
Embu jiulize ni hoja gani unayoisikia kutoka CHADEMA yenye mashiko na kugusa maisha ya watu? Ni hoja ipi wamekuja nayo CHADEMA tangia wameanza kupanda majukwaani awamu hii? Zaidi ya uchochezi na ubabaishaji ni kipi cha msingi unachoweza ukasema CHADEMA imeleta hoja fikirishi? Nawasihi sana watanzania tuwapuuze wapinzani wa Nchi hii aina ya CHADEMA.hawana dhamira njema zaidi ya uchumia tumbo na usaka Tonge
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.