Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea mwenza wa kiti cha Urais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema wapo watu wameanza kampeni za kutaka kuwatoa majimboni wabunge waliopo kwenye maeneo yao na kupitia kampeni zenye nia ya kuchafuana, hivyo amewataka waache mara moja kwani kufanya hivyo ni kinyume cha maadili ya CCM.
Balozi Dkt. Nchimbi ameyasema hayo Jumatano Februari 19,2 025 Jijini Dodoma wakati akifungua mafunzo kwa Watendaji Kata na Makatibu Tawi wa Mkoa wa Dodoma.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amesema CCM inataka kuwa na wanachama walio ndugu na wasiofanya matukio ya kuumizana mwili ama moyo.