Balozi Gertrude Mongella: Kilichonivutia Cuba ya Fidel Castro ni Wafungwa Magerezani Kufunguliwa Akaunti ya Fedha za Kujikimu Mwisho wa Vifungo vyao

Mkunazi Njiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2023
Posts
8,538
Reaction score
7,559
Rais wa kwanza wa African Union Committee.

Rais wa kwanza wa Pan African Parliament.

Balozi wa Tanzania nchini India bibi yetu comrade Gertrude Mongella ameliona hilo huko ughaibuni kwa Fidel Castro ,je kwetu linalishindikana ?!!

Tufanyeje ili tuzidi kuboresha hali za wafungwa baada ya kumaliza vifungo vyao magerezani mwetu.

#Nchi Kwanza 😍
#Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake 😍
 
Hii ni nzuri na ingetakiwa hata Tanzania ifanyike. Wafungwa wanashughulishwa katika kazi uzalishaji Mali magerezani na wanaingiza mapato, so ni kwanini wasitengewe fedha Kidogo Kidogo zikawasaidia baadae?

Maana maisha baada ya kifungo Huwa ni ya kuanza upya na pia Kuna kuwa na kinyanyapaliwa kwingi, ndiyo maana wengine hujikuta wanatudia tena uhalifu na kurudushwa gerezani .
 
Cuba wahalifu wachache mno

Tanzania ukiweka hilo magereza hayatatosha.Uhalifu utaongezeka kwa kiwango cha juu mno watu kuwinda hali bora xa maisha magerezani na maisha bora baada ya kutoka gerezani
 
Hii ni nzuri na ingetakiwa hata Tanzania ifanyike. Wafungwa wanashughulishwa katika kazi uzalishaji Mali magerezani na wanaingiza mapato, so ni kwanini wasitengewe fedha Kidogo Kidogo zikawasaidia baadae?

Maana maisha baada ya kifungo Huwa ni ya kuanza upya na pia Kuna kuwa na kinyanyapaliwa kwingi, ndiyo maana wengine hujikuta wanatudia tena uhalifu na kurudushwa gerezani .
Hoja yako nzuri mkuu wangu 😍

Asante mkuu wangu ,ubarikiwe aaamin😍
 
Back
Top Bottom