Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
π€£π€£Babu yangu akishindwa kufanya mazuri fulani basi yanaweza yakafanywa na mjukuu wa mjukuu wake ambaye ni mimi...Hawa watu wao walipokuwa in charge walisahau kufanya. Wanakumbusha wengine waanze π π π π
Waafrika tunafikiri kuongea nayo ni kazi. Kumbe mdomo haulipiwi luku π π π ππ€£π€£Babu yangu akishindwa kufanya mazuri fulani basi yanaweza yakafanywa na mjukuu wa mjukuu wake ambaye ni mimi...
π€£Waafrika tunafikiri kuongea nayo ni kazi. Kumbe mdomo haulipiwi luku π π π π
Cuba wahalifu wachache mnoRais wa kwanza wa African Union Committee.
Rais wa kwanza wa Pan African Parliament.
Balozi wa Tanzania nchini India bibi yetu comrade Gertrude Mongella ameliona hilo huko ughaibuni kwa Fidel Castro ,je kwetu linalishindikana ?!!
Tufanyeje ili tuzidi kuboresha hali za wafungwa baada ya kumaliza vifungo vyao magerezani mwetu.
#Nchi Kwanza π
#Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake π
Kipi kinachosababisha CUBA kuwe na wahalifu wachache?!!Cuba wahalifu wachache mno
Tanzania ukiweka hilo magereza hayatatosha.Uhalifu utaongezeka kwa kiwango cha juu mno
Hoja yako nzuri mkuu wangu πHii ni nzuri na ingetakiwa hata Tanzania ifanyike. Wafungwa wanashughulishwa katika kazi uzalishaji Mali magerezani na wanaingiza mapato, so ni kwanini wasitengewe fedha Kidogo Kidogo zikawasaidia baadae?
Maana maisha baada ya kifungo Huwa ni ya kuanza upya na pia Kuna kuwa na kinyanyapaliwa kwingi, ndiyo maana wengine hujikuta wanatudia tena uhalifu na kurudushwa gerezani .
Mila desturi na utamaduni waoKipi kinachosababisha CUBA kuwe na wahalifu wachache?!!