Balozi mpya wa Marekani Generali Lenhardt anatarajiwa kuwakilisha hati zake za Utambulisho Ikulu leo hii. Tunamtakia kila la kheri katika utendaji wa kazi zake hapa nchini. Natumaini anaweza kuwa chachu ya mabadiliko ya uongozi Tanzania kama alivyomwenzake kule Kenya.