H Habari za Zanzibar JF-Expert Member Joined Dec 18, 2024 Posts 651 Reaction score 433 Mar 8, 2026 #1 BALOZI MATINYI AFUTURU NA DIASPORA WA SWEDEN NA KUWAAGA Mheshimiwa Balozi Mobhare Matinyi akitoa nasaha zake na kuwaaga Watanzania waishio nchini Sweden wakati wa Iftar iliyoandaliwa na Ubalozi jijini Stockholm, Jumamosi, tarehe 7 Machi, 2026.
BALOZI MATINYI AFUTURU NA DIASPORA WA SWEDEN NA KUWAAGA Mheshimiwa Balozi Mobhare Matinyi akitoa nasaha zake na kuwaaga Watanzania waishio nchini Sweden wakati wa Iftar iliyoandaliwa na Ubalozi jijini Stockholm, Jumamosi, tarehe 7 Machi, 2026.