balozi na siasa

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
shkamooni! je nihalali kwa balozi furani anaye liwaklisha taifa furani katika nchi furani, kushiriki katika shughuli za kisiasa za nchi hiyo? kwa mfano kuhudhulia mkutano wa chama cha siasa
 
C halali hata kidogo...ni dalili mbaya sana kwa ccm
Ni jambo ambalo halitakiwi kufumbiwa macho jaman
Tena tulipinge kwa nguvu zote

Jiulize swali hili

Hivi angekuwa ni balozi wa china kasimama kwenye mkutano wa chadema si angefukuzwa siku hyohyo na serikari?

Tena angeambiwa mchochez..
 
jamani mchina huyo, mambo yke na vitu vyao vya kichinachina tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…