Balozi Nchimbi azuru kwenye kaburi la Hayati Benjamin Mkapa Lupaso

Balozi Nchimbi azuru kwenye kaburi la Hayati Benjamin Mkapa Lupaso

iamwangdamin

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
864
Reaction score
1,798
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiongozana na Wajumbe wa Sekretarieti amezuru katika kaburi la hayati Benjamin Mkapa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu .

"Naomba nikiri kuwa Mimi ni mwanafunzi wa hayati na nimekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa katika kipindi Chake kwani ndio alinilipia Ada ya kusoma Chuo kikuu kwani alikuwa mfuatiliaji sana na sisi alitulea lakini kwa Watanzania wote alikuwa mzalendo kwa Nchi alifanya mabadiliko Makubwa kwa Nchi yake na Kwa Chama Chake lakini yote CCM chini ya Dkt Samia tutaendelea kuyaenzi Yale yote aliyoyoacha Hayati Benjamin Mkapa". Balozi Nchimbi.

#VitendoVinasauti
#TunaendeleanaMama
#KaziIendelee.

iamwangdamin
 
Back
Top Bottom