MANKA MUSA
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 923
- 1,101
#NoReformsNoElectionBALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA.
Awahakikishia viongozi wa dini, taasisi za kijamii na kimila
Awapongeza wanawake kusimamia amani
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa maoni yoyote yanayolenga kuhakikisha Tanzania inaendelea kudumisha amani na utulivu, hayajawahi kupuuzwa na hayatapuuzwa.
Aidha, Balozi Nchimbi amemwelezea Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa ni kiongozi mwanamke ambaye uongozi wake, umeongeza heshima kubwa kwa wanawake na Tanzania, akiendeleza safari iliyoanzishwa na viongozi wengine wanawake jasiri, tangu wakati wa kudai uhuru na kuiweka Tanzania katika ramani ya dunia.
Balozi Dkt. Nchimbi amesema hayo alipokuwa akifungua Jukwaa la Wanawake wa Arusha 2025, lililowakutanisha wanawake katika kujadili maada ya ‘Safari ya Mwanamke Arusha 2025’, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), jijini Arusha, Jumanne, tarehe 24 Juni 2025.
“Hivyo ndivyo wanawake wanalitazama taifa letu (kama wanavyotazama watoto wao). Wanataka nchi yetu iendelee kuwa na amani, nchi yetu iendelee kuwa tulivu. Nataka nitumie nafasi hii, kuwahakikishia wanawake wa Tanzania, kwamba CCM inatambua dhamana yake ya kulinda amani ya nchi yetu.
“Nataka niwahakikishie viongozi wa mila, viongozi wa dini, viongozi wa taasisi za kijamii, niwahakikishie Watanzania wote, kwamba maoni yenu yanayohusu kuendeleza amani na utulivu katika nchi yetu, hatujawahi kuyapuuza kama Chama Cha Mapinduzi,” alisema Balozi Nchimbi na kuongeza;
“Na tukitambua kuwa amani ndiyo kipaumbele cha kwanza cha mwanamke wa Tanzania…akitambua kwamba kuilinda amani ni kuilinda nchi yetu, kukilinda kizazi cha sasa na kizazi kijacho, tutaendelea kuisimamia amani ya nchi yetu kwa nguvu zetu zote.”
Jukwaa hilo ambalo wazungumzaji wakuu wa mada hiyo walikuwa ni pamoja na Mama Fatma Karume, mjane wa Hayati Mzee Abeid Amani Karume, Mama Anne Makinda, Dkt. Asha-rose Migiro, Bi. Zakhia Meghji, na wanawake wengine vijana, lililenga kuzungumzia safari ya mwanamke katika nyanja mbalimbali za maisha, kisiasa, kiuchumi na kijamii nchini.
View attachment 3381733View attachment 3381735View attachment 3381736
NO REFORMS, NO ELECTION.BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA.

Mbona neno hakikwao ni gumu sana?Wanaubili amani wao wanaficha mafisadi Lumumba pale.
KAZI ni kipimo cha utu
puuzeni wasanii hawaBALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA.

Tafsiri yake kwa lugha nyepesi ni moja tu: "NO REFORM, NO ELECTION".Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa maoni yoyote yanayolenga kuhakikisha Tanzania inaendelea kudumisha amani na utulivu, hayajawahi kupuuzwa na hayatapuuzwa.
Hakuna njia nyingine ya kutokea. Njia ni moja tu:“Nataka niwahakikishie viongozi wa mila, viongozi wa dini, viongozi wa taasisi za kijamii, niwahakikishie Watanzania wote, kwamba maoni yenu yanayohusu kuendeleza amani na utulivu katika nchi yetu, hatujawahi kuyapuuza kama Chama Cha Mapinduzi,” alisema Balozi Nchimbi na kuongeza;
Mhh mbona Dkt Nchimbi anaongea kama ndiye mgombea Urais??? Aisee Dkt Samia sijui anawaza ninu kudhani yeye ni chura kiziwi. Yaani angekuwa anatoa kauli za matumaini kama alivyomuwa mwanzo aisee Mama angekuwa Mama kweli tofauti na sasa kila mtu anamuona Mama muuaji, Mama hajali, Mama wa Mikopo etc. mi bado naamini Dkt Samia atabadilika na issue inayoweza kumpa credit za kwanza ni kumuachia Lisu, fungulia Gwajima, fukuza IGP na Waziri mambo yatakuwa ndani etcBALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA.
Awahakikishia viongozi wa dini, taasisi za kijamii na kimila
Awapongeza wanawake kusimamia amani
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa maoni yoyote yanayolenga kuhakikisha Tanzania inaendelea kudumisha amani na utulivu, hayajawahi kupuuzwa na hayatapuuzwa.
Aidha, Balozi Nchimbi amemwelezea Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa ni kiongozi mwanamke ambaye uongozi wake, umeongeza heshima kubwa kwa wanawake na Tanzania, akiendeleza safari iliyoanzishwa na viongozi wengine wanawake jasiri, tangu wakati wa kudai uhuru na kuiweka Tanzania katika ramani ya dunia.
Balozi Dkt. Nchimbi amesema hayo alipokuwa akifungua Jukwaa la Wanawake wa Arusha 2025, lililowakutanisha wanawake katika kujadili maada ya ‘Safari ya Mwanamke Arusha 2025’, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), jijini Arusha, Jumanne, tarehe 24 Juni 2025.
“Hivyo ndivyo wanawake wanalitazama taifa letu (kama wanavyotazama watoto wao). Wanataka nchi yetu iendelee kuwa na amani, nchi yetu iendelee kuwa tulivu. Nataka nitumie nafasi hii, kuwahakikishia wanawake wa Tanzania, kwamba CCM inatambua dhamana yake ya kulinda amani ya nchi yetu.
“Nataka niwahakikishie viongozi wa mila, viongozi wa dini, viongozi wa taasisi za kijamii, niwahakikishie Watanzania wote, kwamba maoni yenu yanayohusu kuendeleza amani na utulivu katika nchi yetu, hatujawahi kuyapuuza kama Chama Cha Mapinduzi,” alisema Balozi Nchimbi na kuongeza;
“Na tukitambua kuwa amani ndiyo kipaumbele cha kwanza cha mwanamke wa Tanzania…akitambua kwamba kuilinda amani ni kuilinda nchi yetu, kukilinda kizazi cha sasa na kizazi kijacho, tutaendelea kuisimamia amani ya nchi yetu kwa nguvu zetu zote.”
Jukwaa hilo ambalo wazungumzaji wakuu wa mada hiyo walikuwa ni pamoja na Mama Fatma Karume, mjane wa Hayati Mzee Abeid Amani Karume, Mama Anne Makinda, Dkt. Asha-rose Migiro, Bi. Zakhia Meghji, na wanawake wengine vijana, lililenga kuzungumzia safari ya mwanamke katika nyanja mbalimbali za maisha, kisiasa, kiuchumi na kijamii nchini.
View attachment 3381733View attachment 3381735View attachment 3381736
Chungulia kwenye picha walipokaa viongozi wa dini; utafikiri kikao cha ma-ustadhi.puuzeni wasanii hawa