Pre GE2025 Balozi Omar Ramadhan Mapuri: Nilikuwa sijui kama Morogoro pia kuna tatizo la Wahamiaji Haramu

Pre GE2025 Balozi Omar Ramadhan Mapuri: Nilikuwa sijui kama Morogoro pia kuna tatizo la Wahamiaji Haramu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Balozi Omar Ramadhan Mapuri, tarehe 23 Februari, 2025 amefanya ziara ya kutembelea washiriki wa mafunzo ya watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika ngazi ya jimbo katika Halmashauri ya wilaya ya Gairo. Mafunzo hayo ya siku mbili yanaendelea katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo.

Mafunzo hayo ni sehemu ya maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, unaotarajiwa kuanza Machi 01, 2025 hadi Machi 07, 2025, katika mikoa ya Morogoro na Tanga katika Halmashauri za Wilaya ya Bumbuli, Handeni, Pangani na Mkinga.
 
Back
Top Bottom