Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Uteuzi huu unaanza mara moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani walipochaguwana watu Jumapili Kuna alisema kitu tatizo hapo huwa hamuoniNdiyo Tz yetu hiyo! Kuna zamu ya wale wa ijumaa, jumamosi na jumapili, Jambo la msingi ni kuvumiliana tu, ili ikifika zamu ya mwengine msianze kulalamika!
Maza anawakumbuka vizuri sn watu wa Ijumaa
Huoni?Udini unakutesa
😅🤣Ijumaa MubarakMaza anawakumbuka vizuri sn watu wa Ijumaa
Ndiyo watu wake😅🤣Ijumaa Mubarak
Kisiwa cha Comorro ni muhimu kwa uchumi wa Tanzania, how ????Kituo kazi na Eneo muhimu la kimkakati kwa uchumi wa Tanzania
Kisiwa cha Comorro ni muhimu kwa uchumi wa Tanzania, how ????
Nijuze nielewe please!
2022 23 September
Serikali yatangaza fursa za biashara nchini Comoro
View: https://m.youtube.com/watch?v=DVqc68205Nc
Naibu Waziri wa Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara Exaud Kigahe amewataka watanzania kuchangamkia fursa ya mahitaji ya mazao ya chakula nchini Comoro huku akieleza uhitaji wa taifa hilo wa tani elfu 10 hadi elfu 15 za mchele kila mwezi.Kigahe ameyasema hayo leo Ijumaa Septemba 23, 2022 jijini Dodoma alipozindua mkutano baina ya wataalamu wa Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara pamoja na Balozi wa Comoro nchini Tanzania, walipokutana kutafuta suluhu ya uhaba wa chakula nchini Comoro........
Ni soko zuri la bidhaa zetu za kilimo na viwandaniKisiwa cha Comorro ni muhimu kwa uchumi wa Tanzania, how ????
Nijuze nielewe please!
Huyu alikuwa ndiye contact person na msiri wa Februari pale Wizara ya Nishati. Rushwa zote za Februari alikuwa anapokea huyu. Muache akae Comoro tu, Rais kavunja mtandaoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Said Othman Yakub kuwa Balozi wa Tanzania nchini Comoro. Balozi Yakub anachukua nafasi ya Balozi Pereira Ame Silima ambaye amemaliza muda wake.
View attachment 2962522View attachment 2962523