johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyu ni yule alikuwa Mbunge somewhere kule DodomaBalozi wa Tanzania nchini Kenya Dr John Simbachawene
Hapana, yule ni George ambaye kwa sasa ni waziri wa mambo ya ndani.Huyu ni yule alikuwa Mbunge somewhere kule Dodoma
Viongozi wa CCM wanadanganya wananchi kuwa hamna korona ila changamoto za upumuaji.Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dr John Simbachawene amewataka Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo kuhakikisha wanafuata masharti ya nchi hiyo kwa wageni.
Masharti hayo ni pamoja na kupima Corona katika muda usiozidi saa 72 na kuwa na vyeti vya uthibitisho.
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Acha kukariri bwashee!Sasa tutapima kwa vipimo gni wakati tuliambiwa kuwa vipimo vyetu vinapima damu ya mbuzi na mapapai? Pia tumeambiwa wazungu wanatuletea corona kwa kupitia bidhaa zao wakati huo sisi hatuna uwezo wa kutengeneza vipimo
Kwa nini kipimo ni dola 100?
Asante sana KiongoziHapana, yule ni George ambaye kwa sasa ni waziri wa mambo ya ndani.
John alikuwa Katibu wa Ikulu.