Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
hakuna taifa hapa, kuna kundi la watuMkuu wa mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amewataka watumishi mkoani Kigoma kuhakikisha wanafanya kazi kwa weledi na kutimiza maelekezo na wajibu lakini pia kuwatumikia wananchi kwa maendeleo ya taifa na jamii kwa ujumla.
Kwani anatumikia vyeo vyote kwa pamoja au kimoja amekivua?Mkuu wa mkoa wa Kigoma Balozi