Balozi Uingereza anaporusha roho ...

Balozi Uingereza anaporusha roho ...

Babuji

Senior Member
Joined
Nov 27, 2008
Posts
197
Reaction score
4
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mwanaidi Sinare jana alijimwaga na watanzania wengine kwenye steji kurusha roho wakati bendi ya Jahazi toka Tanzania ilipowapa burudani ya nguvu watanzania waliohudhuria sherehe za miaka 47 ya uhuru wa Tanzania

315.jpg


KWA PICHA KIBAO ZA RUSHA ROHO NA JAHAZI LONDON GONGA HAPA


NIFAHAMISHE .: PHOTO GALLERY :.
 
Nadhani ni viongozi wachache wanaweza kujichanganya kwenye mduara kama mama maajar
 
Back
Top Bottom